Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

Kwani Nchimbi yeye ni nani mpaka kuwe na ulazima wa yeye kugombea urais?
 


This is a crap from low brain chawa.
 
Kwa mbaaliiii ni kama nimefumbua macho
 
Wewe nae hukumuelewa vizuri Pole Pole.

Kama makamu(mama) alichukua nchi ilitakiwa kipindi chake kiishie pale ambapo alitakiwa kuishia magu(October).

Baada ya hapo ndio pole Pole anaona kama ni kukiuka.
 
Uliona wapi makamu anakuw rais hapa tz ukiachana na vifo
 
Sidhani! Kama vipi tumpe Dr Emmanuel Nchimbi urais sasa hivi...
! Tupo tayari kwa hilo!
 
Pamoja na mleta mada kukusaidia kuandika Samia lakini wapi.

Nina uhakika huko ulikosoma yule top wa class kwenye paper hata akikuomlnesha jibu ameandika "A" wewe ungeandika "Ei".
Hahahahaaaa,Mmh,acha kukaza shingo utakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…