Tetesi: Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo

Nchimbi kachafuka kutofuata utaratibu na yeye alikuwa analijua hilo, angegoma
 
Kipi special kwa Nchimbi?
Wapo watanzania wengi sana huku mitaani, huko kwenye system hakuna mwenye uwezo maana wengi wao uwepo wao sio perfomance based bali ni mapichamapicha tu.

Watanzania tupiganie sana reform ili kila mtanzania aweze kushiriki kwenye michakato ya kupata viongozi bora.

Huwezi ukapata watu waelevu wenye uelewa mpana wa mambo na uwezo wa kuleta suluhu ya matatizo mazito kupitia mfumo uliojaa wajinga, malaya, walevi, wachawi, madalari, matapeli, wizi machawa nk.

ndani ya mitaa ya Damascus-Syria.
 
Kama mzee Mwinyi alivyosuka mipango hadi mwanawe akapewa uraisi?
 
NI vita ya timu mbili
Timu CCM aliyoitegeneza JPM vs Team Kikwete ya 2005.
Nchimbi alikuwa Mwenyekiti UVCCM wakati huo - hao ndiyo walimtisha Mkapa kwamba achague either Kikwete ama Chama kimfie mkononi - Mzee wa watu akakubaki yaishe.
 
Endelea ku kremu hivo hivo kijana usiejiamini mayai mayai!Hii nchi itakombolewa na sisi wanawake ndio tutaingia front!hamtakaa muamini!
Wanawake gani?
Hawa wa siku hizi wa tuma na ya kutolea?

Kama kumiliki tu uchumi mmeshindwa siasa ndo mtaweza?
 
Na Bado mtavurugana huko ndani mpk basi
 
Polepole HAWEZI kuizuia CCM kuchagua Mgombea Urais wa CCM 2030 na pia HAWEZI kuichagulia Mgombea Urais wa 2030. Sababu ni kwamba, "CCM ni ile ile.....!" Ina taratibu zake!
 
Tutampima kwa miaka mitano atakayokuwa makamu. Kama atashindwa kutoa ushauri mzuri kwa Rais basi atakuwa hafai. Asije kusingizia kuwa ushauri wake ulipuuzwa. Ushauri ukipuuzwa unatakiwa ujiuzuru ukishindwa kujiuzuru unakuwa sehemu ya mfumo uliofeli hivyo asijekutusumbua baadaye kuomba uRais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…