Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Sauti zao zinakuwa za chini halafu original voices zinakuwa juu kiasi kwamba wakianza kupigana ndani tafraniZile quality zao hahahaa sijui kwann zinqkuq mbaya
Movie za kutafsiriwa unaanzia wapi kusinzia mfano, hizo sauti zinavyoumiza na kudisturb masikio[emoji1787][emoji1787]
Ni kuenjoy mwanzo mwenga
Daa RIP πππAchecheπ€£π€£ jina linachekesha
Nilikua naangalia zile za Rufufu Mukandala, jaman alikua ni anatafsiri uongooo ila ndio movie zinanoga hatariππ
Watching subtitles is very addictive ukizoea kuangalia movie za Kora, India or China halafu ukawekewa hata movie ya kudhungu unaweza jikuta unaenda download suntitles.Lufufu nae dj jaman[emoji16]
Bora niwe nasoma tittle pale chini afu nastopisha nafunua dictionary ya E-S mpaka namaliza Movie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuingizia vimisemo naona poa tu vinanogesha mfano niliona siku moja tamthilia ya kihindi mdada amepigiwa simu 'haloo mpenzi wangu' mdada akajibu 'mpenzi wangu hiyo kwio'[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi kuna siku nilichoka zaidi kwenye ile Tamthilia ya Kesari ya Azam yule anayetafsiri si akachomekea neno Royal Tour. [emoji28][emoji28]
Ikabidi nicheke tu sababu ule ni uongo uliokithiri.
Yaani acha tuWatching subtitles is very addictive ukizoea kuangalia movie za Kora, India or China halafu ukawekewa hata movie ya kudhungu unaweza jikuta unaenda download suntitles.
Dearest cha ajabu za kichina, kihindi na kikorea zinaangalika kwa subtitles; lakini ukiwekewa movie za France, Germany etc unaona kero kuangalia na subtilers π¬unaona kama hazielewek vileYaani acha tu
Nadhani YouTube ina auto converter. Ukiweka video ya high quality mtu anaweza kuconvert mwenyeweWanaweka hivyo ili wapate wateja wengi zaidi
ππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuingizia vimisemo naona poa tu vinanogesha mfano niliona siku moja tamthilia ya kihindi mdada amepigiwa simu 'haloo mpenzi wangu' mdada akajibu 'mpenzi wangu hiyo kwio'[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SawaNadhani YouTube ina auto converter. Ukiweka video ya high quality mtu anaweza kuconvert mwenyewe
Nadhani mazoea tu, bora niangalie za kizungu sio nione ya kikorea iko dubbed [emoji16][emoji16] hunitazamishi hata kwa fimboDearest cha ajabu za kichina, kihindi na kikorea zinaangalika kwa subtitles; lakini ukiwekewa movie za France, Germany etc unaona kero kuangalia na subtilers [emoji51]unaona kama hazielewek vile
Mi bora nimtafute DJ murphy tu hahahaa subtitles naangalia picha naona zinanipitaDearest cha ajabu za kichina, kihindi na kikorea zinaangalika kwa subtitles; lakini ukiwekewa movie za France, Germany etc unaona kero kuangalia na subtilers π¬unaona kama hazielewek vile
Kuna wale ukigusa tu kumzunguzia JUMONG wanajua mpaka babu yake mzaa mamaNadhani mazoea tu, bora niangalie za kizungu sio nione ya kikorea iko dubbed [emoji16][emoji16] hunitazamishi hata kwa fimbo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale rafiki zangu mbona na wanaelewa hili, mimi mambo yangu subtitles yaani nataka nikisikie kikorea chenyewe sio kizungu ambacho najua hawajaongea waoKuna wale ukigusa tu kumzunguzia JUMONG wanajua mpaka babu yake mzaa mama
[emoji51] [emoji1787] omba wasikusikie
Amefariki?Daa RIP πππ
Yaani ni makeleee utafkiri speaker imefungwa hapo ndani kwenuSauti zao zinakuwa za chini halafu original voices zinakuwa juu kiasi kwamba wakianza kupigana ndani tafrani
Hahaha JUMONG atakuwa kesha vunja mpaka Ndoa za watuKuna wale ukigusa tu kumzunguzia JUMONG wanajua mpaka babu yake mzaa mama
π¬ π€£ omba wasikusikie
Kama Uko Banda la VideoYaani ni makeleee utafkiri speaker imefungwa hapo ndani kwenu
Kwani Bado yupo lufufu ?Amefariki?
Kuna jamaa mmoja wa city hunter huyo ndo kavunja ndoa nyingi sana.Hahaha JUMONG atakuwa kesha vunja mpaka Ndoa za watu