Hahaha nyie ndio hiwa mnaunguza MbogaKikorea kitamu sana ukisikiliza mimi nimekamata maneno kibao ninaweza hata muda mwingine bila mtafsiri na subtitle ila ikawa poa coz naelewa viwili vitatu kimchongo mambo ya ;
Komasoo,Orabonye,peha,komashmita,koroso,moyoo,wanjani nk
[emoji16][emoji16][emoji16] wewe huwezi kuona maajabu, sisi tunayaonaInauma wakati anamuwaza yeye wewe unamuwaza yeye. Sio fair kabisa halafu jamaa mwenyew hana maajabu [emoji1787]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nina mpango wakuongeza kikorea kwenye cv yangu kama lugha ninayoweza kuongea[emoji12]Kikorea kitamu sana ukisikiliza mimi nimekamata maneno kibao ninaweza hata muda mwingine bila mtafsiri na subtitle ila ikawa poa coz naelewa viwili vitatu kimchongo mambo ya ;
Komasoo,Orabonye,peha,komashmita,koroso,moyoo,wanjani nk
Hebu acheni utani... Mtu yupo Korea anavunjaje ndoa ya mtu
[emoji16][emoji16][emoji16] ndio huyo wanamjua... Wakati huyo hata sio habari ya mujini sasa hiviwabongo wamemkariri lee minho utadhan ndo staa pekee wa kikorea. Kila kitu wanamsingizia yeye
Namkubali sana huyu kijanaSijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. 😁 Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Ooh apumzike kwa amaniNlisikia alifariki
Atakuwa muigizaji mzuriwabongo wamemkariri lee minho utadhan ndo staa pekee wa kikorea. Kila kitu wanamsingizia yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia vingunguti kidarajani, acheche yombo kwa limboa.Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Wote hao ni wakareeee.Mack au marphy?
Dj afro ndo mkaliSijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuingizia vimisemo naona poa tu vinanogesha mfano niliona siku moja tamthilia ya kihindi mdada amepigiwa simu 'haloo mpenzi wangu' mdada akajibu 'mpenzi wangu hiyo kwio'[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia picha zao zinapoteza uboraMovie moja inakatwa vipande vinne imenifanya niache kuangalia movie
Nashukuru mkuu kwa kuona mchango wangu katika jamii, nakuahidi tutakuwa pamoja, karibu sanaa mitaa ya Rikoma na Aggrey pale Kariakoo, pia jiunge kwenye group letu la WhatsAppSijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Usimsahau na dj Ommy aisee.Sijawahi kujutia kuangalia movie zilizotafasiriwa na Dj mack the mashine kutoka acheche production. Mzuka mwingi kama kawa kama dawa. [emoji16] Anatafasiri uhalisia uliopo pia anaelewesha vizuri sana. Movie hata kama ni mbovu utaipenda.
Lakini movie si inaeleweka? We ungepewa nafasi ya kutafsiri ungeweza?Kilichoandikwa kwenye screen na wanachokiongea wao tofauti.
Halafu unaweza kuta wewe ndo mfuatiliaji namba moja!Ukitaka kujua level yakko ya ujinga imefikia kiwango gani anza kuangalia huo upuuzi
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
Ningekuwa karibu yako ningekuzaba vibaoHakuna mwenye akili timamu akaangalia huo ujinga.
Sent from my Redmi 6 Pro using JamiiForums mobile app
[emoji419][emoji419][emoji23][emoji23][emoji23] So funnyMimi natazama movie iliyotafsiriwa na DJ AFRO.
hatafsiri maneno ila anaeleezea matukio kwa uelewa wake in funny way.
Ila wabongo hapana aisee.