Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

uliwaifanya utafiti ukakuta hakuna film schools ? hii ni pumba
 
Kanumba ndo alikuwa anaibeba industry ya Bongo Movie,kwahyo kifo chake ndo kiliharibu kila kitu maana Hawa waliobaki Ni wababaishaji tu
sio kweli alivyoondoka STEPS ambaye alikuwa msambazaji na muwekezaji mkuu ndo soko liliyumba hata kanumba alikuwa anapewa hela na steps afanye movie hata angekuwepo nani angemuwezesha
 
KWANZA HATA YEYE STEVEN SIO YEYE ALIYEANZA KULETA USHIRIKIANO NA WANAIJA YEYE ALISHIKWA MKONO NA DIRECTOR MTITU GAME NA SUALA LA UWEKEZAJI STEPS NDO ALIKUWA MAIN SPONSOR WA WATENGENEZA FILM TZ HATA KANNUMBA MWENYEWE HAKUWA ANATOA PESA YAKE ALIKUWA ANAPEWA NA STEPS NDOMAANA MOVIE NYINGI ZINA NEMBO ZA STEPS
 
WaTz tunatakiwa tujiamini hasa inapotokea kuna waigizaji wa nje na igizo linahitaji kiingereza kutumika. Niliangalia inaitwa married to work kama sikosei, inapokuja sehemu ya MTz kuongea kwenye mkutano, na inategemewa atoe maelezo yaliyosimama, basi hicho kipande kinatolewa sauti, anaonelana akiinua mikono na modomo inacheza, hakuna sauti. Baada ya kipande hicho anaonelana kisifiea kwa jambo ambalo wasikilizaji na watazamaji hawakusikia akiongea. Tubadilike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…