- Thread starter
- #101
๐๐๐๐๐Nimecheka kwa sauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Nimecheka kwa sauti
Kuna watu wachache wenye akili na fikra pana zisizo na mihemko, we ni mmoja wao๐Mi nadhani kabla hatujawalinganisha bongo movie na wakorea, waphilipn, wahindi tuangalie sisi kama tanzania tunalingana na nchii izoo kwenye tasnia ipiii footbal vitasa uchumi tecnologia hawakufika hapo siku moja wameanza lini kuproduce izoo movie zao bongo tumeanza lini turidhike na level yetu huku tukisupportiana kesho tuwebora zaidi
Lakini tasnia ya bongo movie ni ya kitambo piaKuna watu wachache wenye akili na fikra pana zisizo na mihemko, we ni mmoja wao๐
Utasupport vipi kitu ambacho hata hakina originality, Yani movie zote worldwide ni faking/acting ila bongo movie ni faking inayoonekana ni faking na full copying kazi za watu..Mi nadhani kabla hatujawalinganisha bongo movie na wakorea, waphilipn, wahindi tuangalie sisi kama tanzania tunalingana na nchii izoo kwenye tasnia ipiii footbal vitasa uchumi tecnologia hawakufika hapo siku moja wameanza lini kuproduce izoo movie zao bongo tumeanza lini turidhike na level yetu huku tukisupportiana kesho tuwebora zaidi
Yes..kama ile series ya Siri ya mtungi...au ile move ya Nairobi half life.Ni Story na Director ndo vimeua bongo movie
Na sio budget , technology, wala waigizaji
Kuna movie zilizofanya vizuri ambazo hazina budget kubwa Ila kutokana na mpangilio wa matukio( story ) na maelekezo ya Director movies zikawa Ni [emoji91]
Sawa ni ya kitambo, hata muziki wetu ni wa kitambo ila sijawahi kuona unashindanishwa na wa mataifa makubwa, mara nyingi unashindanishwa na Kenya, Nigeria au south Africa....lakini movies tu ndo watu wanataka zishindanishwe na wakorea, wazungu...Lakini tasnia ya bongo movie ni ya kitambo pia
GoodChangamoto ya bongo movie ni
1. Utungaji wa story
2. Mpangilio wa matukio
3. Waigizaji
4. Uhalisia wa matukio
5. Camera/ production equipment
6. Editing skills
7. Investment
8. Time
SawqSawa ni ya kitambo, hata muziki wetu ni wa kitambo ila sijawahi kuona unashindanishwa na wa mataifa makubwa, mara nyingi unashindanishwa na Kenya, Nigeria au south Africa....lakini movies tu ndo watu wanataka zishindanishwe na wakorea, wazungu...
Tamthiliya za Bongo ni hovyo hazina story za maana zaidi ya kuonyesha mapaja ya akina Wema na Kajala nkHabari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio, wahusika na kiutaalamu.
2. Wanakosea Muendelezo wa matukio, Mtu kavaa hivi akitokea sehemu nyingine unaona kuna tofauti.
3. Teknolojia duni
Ni vitu gani vingine Bongo movies wanakwama tuwasaidie?
Hivi msomi anataka kupewa nafasi kivipi badala ya kuitengeneza nafasi yeye mwenyewe mimi nadhani hao wasomi wangeanza hata na short films za dakika 5-10 lazima wataonesha utofauti...Walioshikilia soko la filamu hawataki kuwapa nafasi hao wasomi sababu wanajua ndio anguko lao mazima, nina ushahidi na hilo pia kaangalie kipindi cha Salama na Monalisa utamsikia masikitiko yake.
Copy and pasteHabari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio, wahusika na kiutaalamu.
2. Wanakosea Muendelezo wa matukio, Mtu kavaa hivi akitokea sehemu nyingine unaona kuna tofauti.
3. Teknolojia duni
Ni vitu gani vingine Bongo movies wanakwama tuwasaidie?
Yaani hawasomi tabia za zile characters wanazotakiwa kuziigiza (mfano polisi, mlinzi, mpelelezi nk). Wao wanajifanyia tu na matokeo yake hujui kama filam hii ni ya vichekesho au wako serious.Wengi wao hawana ufahamu juu ya mambo mbalimbali ya dunia(issues), pia wengi hawasoni vitabu na machapisho ya waandishi nguli, elimu ndogo hapa ni mchanganyiko wa elimu ya darasani na Ile ya kutembea maeneo tofauti ndani na nje ya nchi... Visa vyao ni mapenzi tu.
Uwekezaji.
Hakuna aliye tayari kuwekeza vilivyo kwenye hii sekta kwasababu soko la filamu kwa hapa ndani (na Afrika Mashariki kwa ujumla) liko tricky sana, hakuna uhakika wa faida kama wenzetu wa wa Asia Ulaya na Marekani ambao wana masoko kwenye nchi na mabara mbalimbali kama China.
Sababu kubwa ya soko kukosa uhakika ni kwamba hakuna njia ya uhakika ya kuuza kazi za filamu na zikafikia watazamaji kwa asilimia angalau 50%, njia ya uhakika kidogo ni CD ambapo wizi wa kazi umeshamiri.
Pamoja na yote hayo, ukweli ambao haufurahishi ni kwamba "kifo cha Kanumba ni pigo kubwa katika safari ya maendeleo ya soko la filamu nchini"... kwanini? Enzi za uhai wake, Kanumba alianza kujaribu kutafuta mwanga kuhusu matatizo yaliyopo hapo juu.
1. Alianza kujaribu kutanua soko la filamu za Bongo kwa kushirikiana na Wanigeria.
2. Steve alikuwa akifanya uwekezaji mkubwa hasa wa fedha kwenye filamu zake.
3. Aliingia mikataba mbalimbali ya uuzaji wa filamu (nasikia).
Jamaa alikuwa masihi wa Bongo movie (my take).
Akitokea mtu akajaribu akaongoza njia katika kutatua angalau baadhi ya matatizo hayo matatu (investment, soko na udhibiti), kutakuwa na exponential efect kwa ukuaji wa Bongo movi