igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Kizuri huwa kinajiuza...Hawana soko la uhakika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizuri huwa kinajiuza...Hawana soko la uhakika.
Unakumbuka zamani yale maigizo ya akina Rich, Bishanga etc ya Mambo Haya?! Unakumbuka Dude na yale maigizo yake? Walikuwa vizuri sana mbona?Tanzania hakuna Film Schools hivyo kutarajia wafanye ubora zaidi ya hapo ni miujiza tu...hizo nchi zote unazozitaja zina Film Schools za kutosha.
Ipo haja ya kuandaa kizazi kipya kuhusu suala zima la filamu.
Watoto wangali Wachanga Wanapaswa kufahamu umuhimu wa screen play na jinsi ya kuzitumia...kwa leo hii ukitaka uwalazimishe hawa waliopo sio kazi rahisi maana wameshakomaa na waliingia kwenye hii tasnia bila kujali sana mambo mengi yanayoijenga tasnia...shortcut ni nyingi na ukiwauliza watakwambia ni ufinyu wa bajeti.
Suala la kuatengeneza Filamu ni gumu tofauti kabisa na wengi tunavyochukulia.
Exactly [emoji1666] [emoji1666]Walisha haribu hao kina wema na Uwoya na wengine kila scene wao ni kuweka mtu mwenye makalio makubwa tu halafu Ray yeye kazi ni kuigiza maisha ya kifahari hawasomi vitabu kupanua akili yani ubunifu hamna kazi kuuza sura tu. Na umalaya.Hopeless
Kanumba ndo alikuwa anaibeba industry ya Bongo Movie,kwahyo kifo chake ndo kiliharibu kila kitu maana Hawa waliobaki Ni wababaishaji tu
Ni za kwetu.. Muda mwingine unaangalia tu kwa bahti mbaya. Unarudi nyumbani Unakuta familia na mgeni wanaangalia, hapo inabidi uzuge tu kama upo nao ili umentain socializationkumbe watu wengi tunafuatilia hizi movie tatizo Ubora
Siyo kweli. Kinajiuza kwanza halafu mauzo yanaenda kukiboresha. Sasa bongo movie hawana pa kuuzia kazi zao. Ni kama wakulima wa TZ.Kizuri huwa kinajiuza...
Wanaiga za Ki-Nigeria. Huwa siangalii huo ubunifu duni.Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio, wahusika na kiutaalamu.
2. Wanakosea Muendelezo wa matukio, Mtu kavaa hivi akitokea sehemu nyingine unaona kuna tofauti.
3. Teknolojia duni
Ni vitu gani vingine Bongo movies wanakwama tuwasaidie?
Uliona wapi Msanii kwenye Movie au Series role zote anachukuwa yeye😁Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio, wahusika na kiutaalamu.
2. Wanakosea Muendelezo wa matukio, Mtu kavaa hivi akitokea sehemu nyingine unaona kuna tofauti.
3. Teknolojia duni
Ni vitu gani vingine Bongo movies wanakwama tuwasaidie?
Wanaigana mno ...wote ni mambo ya mapenzi tu hawataki kubuni vitu vingine, sijui hawajawahi kumwona Yombayomba!!Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio, wahusika na kiutaalamu.
2. Wanakosea Muendelezo wa matukio, Mtu kavaa hivi akitokea sehemu nyingine unaona kuna tofauti.
3. Teknolojia duni
Ni vitu gani vingine Bongo movies wanakwama tuwasaidie?
UMALAYAHabari wana JF,

Exactly![]()
![]()
Wanapenda sana Uchale, kila Filamu wao
Hao mastaa wetu kama Ray hawezi kuigiza mazingira ya kijijini, hata akijaribu hata fanana nayo..... Wanigeria wapo mbali sana... Unakuta wimbo wa kinigeria haujui kinachoimbwa lakini ukiangalia video unajua maana ya wimbo.... ... OGOPA SANA NCHI INAYOFUATA MAWAZO YA WANASIASA MBALI NA MAWAZO YA WATAALAMWalisha haribu hao kina wema na Uwoya na wengine kila scene wao ni kuweka mtu mwenye makalio makubwa tu halafu Ray yeye kazi ni kuigiza maisha ya kifahari hawasomi vitabu kupanua akili yani ubunifu hamna kazi kuuza sura tu. Na umalaya.Hopeless
Uchale.
Naweza kuwa na hamu ya kutazama Filamu mtandaoni, kila Filamu unayojaribu kuitazama ni Uchale tu, hapo ndio huwa nashindwa mimi.
Kwa mtazamo wangu kwa ukanda wetu wa Afrika Mashariki, Kenya wapo juu. Michezo yao iim
Naye hakuwa Bora kivile...... Directors hawakutambua character yake... Kanumba alikuwa Half Comedian character na movie zote ilibidi aigize hvyo.... Sema Kila zama zinashetani wakeKanumba ndo alikuwa anaibeba industry ya Bongo Movie,kwahyo kifo chake ndo kiliharibu kila kitu maana Hawa waliobaki Ni wababaishaji tu
Naye hakuwa Bora kivile...... Directors hawakutambua character yake... Kanumba alikuwa Half Comedian character na movie zote ilibidi aigize hvyo.... Sema Kila zama zinashetani wake
Unamatatizo sio bure
inawezekana upo sahii, au haujui kilichoandikwa
Mkuu uko sahihi kabisa maana hizi za sasa hivi sio kabisa mtu anajifanya mtoto wa kishua wakati kwao mpaka anaingia kaburini hajawahi kuliona hata sofa mbuzi hawa We unamtizama Romyjons eti nae muigizaji hujakaa vizuri mara sijui Ben kinyaiya unategemea nini?Kusema la haki turudi kule kwa Musa banzi uchawi ndo tunajua movie ziliuza sana mpak vibanda umiza ila now kingereza cha ugoko kingi hamna maana mapenzi huwezi angalia na wazazi mara ya kwisho kuangalia bongi movie ni ile ya kanumba uncle jj inaanza yuko kweny mkutano anaongea then anafukuzwa tangu hapo sijaangalia ile seriously Tena movie
Naangalia YouTube ila movie Kama girl friend ya zamani Maisha na muziki ila haina sauti kule
HahahaaaNi za kwetu.. Muda mwingine unaangalia tu kwa bahti mbaya. Unarudi nyumbani Unakuta familia na mgeni wanaangalia, hapo inabidi uzuge tu kama upo nao ili umentain socialization