Du mkuu ebu tafadhali ni uchi uchi kabisa bila pichu familia yote ikiwa na jinsia zote 2 ?Mimi na wasela wenzangu enzi hizo tuko form six, katika kujiandaa tukaona ni vyema tupange chumba ili tuweke Kambi ya masomo.
Usiku mmoja nikashtuka usingizini, tukamuona baba mwenye nyumba na mkewe na watoto wako uchi wa mnyama wanaizunguka nyumba.
Nikawaamsha wenzangu. Chumbani kuna Giza hatujawasha taa hivyo tunawaona kwa uzuri sana.
Baada ya wiki tu tukahama. Walikuwa Wana roho nzuri sana utadhani watu kumbe ni mashetani
Dadek ππππMaji ya mgao, siku yakitoka wapangaji haturuhusiwi kuchota maji bombani. Mwenye nyumba anajaza tank then anatuuzia ndoo 200, nikaona hapa sipaswi kukaa hata miezi miwili.
Aliyesema kila aliyepanga hana nyumba nani?Siyo kila anayekaa nyumba ya kupanga ukadhani hana nyumba
Kama umejenga Kerege ni bora upangishe hiyo nyumba ikusaidie kulipa kodi karibu na mjini.
Pole sana broYaani nilichukia sana siku ile ukizingatia alikuwa anaishi na familia kubwa
Asante sanaPole sana bro
Unachukiwa kwa kuongea ukweli. Hapa JamiiForums , pia ma mods ni watu wenye stress sana, wakiona uko determined, wanaanza kukuwenga. Unaweza ukawa sio msomi na una pochi Nene.Aliyesema kila aliyepanga hana nyumba nani?
Hivi uko timamu kweli kichwani wewe?
Mshana Jr njoo ulipie deni la demi wako mwaJHii nadhani ni njia napaswa kuifuata, kuna demu kapanga kwangu ila pesa analipiwa na sponsor, sasa huyu kwenye bill ya maji halipi kabisa, nikimforwadia msg unit tumitumia hizi mimi nalipa 80% wewe malizia basi hapo zitakuja hata bill 3 hajalipa, ni mtihani kwakweli.
Kwahiyo hapa msiwashitumu wenye nyumba hata wapangaji wengine ni vichomi tu.
Nadhani biashara sahihi ya nyumba wakae wapangaji tupu na mwenye nyumba ukae kwenye nyumba yako peke yako unakusanya kodi tu, asiyelipa maji wacha akatiwe tu na usiponunuwa luku utalala mwenyewe gizani.
Poor brainRrNyie mnaoleta visa vya mapenzi kwani hamna visa vingine...
Au mnapenda kushadadia mambo ya ngono tuu
ππππππ
Shuka chini πππPoor brain
Pole sana bro
Duh kumbe wewe ni bro?Asante sana
Haaaahaaaa we jamaa unanichekesha poor brainShuka chini πππ
πππππππ Ni baba mwenye nyumba piaHaaaahaaaa we jamaa unanichekesha poor brain
Mkuu Rehema alinichonifanya sina hamu kabisa na kiumbe yeyote aitwae Mwanamke!Unachukiwa kwa kuongea ukweli. Hapa JamiiForums , pia ma mods ni watu wenye stress sana, wakiona uko determined, wanaanza kukuwenga. Unaweza ukawa sio msomi na una pochi Nene.
Juzi juzi umeuza tamthilia, najua bibie Rehema kwa Sasa sio mwalimu tena na mmetulia zenu Gomes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu uliliwa kidee, woiiiiiihWenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.
Kuna mdada mwingine aliamka kajikuta na shahawa na kyupi hana acha atoe mitusi ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu uliliwa kidee, woiiiiiih