Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Mimi na wasela wenzangu enzi hizo tuko form six, katika kujiandaa tukaona ni vyema tupange chumba ili tuweke Kambi ya masomo.

Usiku mmoja nikashtuka usingizini, tukamuona baba mwenye nyumba na mkewe na watoto wako uchi wa mnyama wanaizunguka nyumba.

Nikawaamsha wenzangu. Chumbani kuna Giza hatujawasha taa hivyo tunawaona kwa uzuri sana.

Baada ya wiki tu tukahama. Walikuwa Wana roho nzuri sana utadhani watu kumbe ni mashetani
Du mkuu ebu tafadhali ni uchi uchi kabisa bila pichu familia yote ikiwa na jinsia zote 2 ?
 
Aliyesema kila aliyepanga hana nyumba nani?

Hivi uko timamu kweli kichwani wewe?
Unachukiwa kwa kuongea ukweli. Hapa JamiiForums , pia ma mods ni watu wenye stress sana, wakiona uko determined, wanaanza kukuwenga. Unaweza ukawa sio msomi na una pochi Nene.

Juzi juzi umeuza tamthilia, najua bibie Rehema kwa Sasa sio mwalimu tena na mmetulia zenu Gomes
 
Hii nadhani ni njia napaswa kuifuata, kuna demu kapanga kwangu ila pesa analipiwa na sponsor, sasa huyu kwenye bill ya maji halipi kabisa, nikimforwadia msg unit tumitumia hizi mimi nalipa 80% wewe malizia basi hapo zitakuja hata bill 3 hajalipa, ni mtihani kwakweli.

Kwahiyo hapa msiwashitumu wenye nyumba hata wapangaji wengine ni vichomi tu.

Nadhani biashara sahihi ya nyumba wakae wapangaji tupu na mwenye nyumba ukae kwenye nyumba yako peke yako unakusanya kodi tu, asiyelipa maji wacha akatiwe tu na usiponunuwa luku utalala mwenyewe gizani.
Mshana Jr njoo ulipie deni la demi wako mwaJ
 
Mm hapa jirani kuna mzee ana magofu yake anaishi humo na wapangaji. Mtaa mzima wanadai mchawi. Na aliwahi kutwa akioga makaburini. Yeye huwa anapangisha watu wa kabila lake tuu au wa kaskazini mana yy ni wa tanga ila bado wanamshinda.

Alikuwaga na eneo kubwa akakata mara 2 akauza 26m lakin hata maji kakatiwa hana hata mia mbov zaidi ya majin aliyoenda nunua.
Yan haya maisha yanahitaji maamuzi sahihi na yasiyo ya mkumbo.

Ivyo yeye na wapangaji wake wanachota maji kwa jirani.
 
Unachukiwa kwa kuongea ukweli. Hapa JamiiForums , pia ma mods ni watu wenye stress sana, wakiona uko determined, wanaanza kukuwenga. Unaweza ukawa sio msomi na una pochi Nene.

Juzi juzi umeuza tamthilia, najua bibie Rehema kwa Sasa sio mwalimu tena na mmetulia zenu Gomes
Mkuu Rehema alinichonifanya sina hamu kabisa na kiumbe yeyote aitwae Mwanamke!
 
Wenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele 🤣🤣🤣
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq 🤣🤣🤣🤣

Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.
 
Wenye nyumba wengi wachawi sana!! Kuna siku nimetoka kuoga nikawa napaka mafuta, ghafla nikaona mlango unafunguka wenyewe na nilifunga na funguo.!! Nikatulia nione nani anaingia, holaa hakuna mtu.
Siku nyingine nimelala nimevaa kipensi na tshirt, asubuhi nimejikuta niko kichele [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikajua labda itakuwa nimejimix nikaanza kuitafuta ile pensi sijaiona, baada ya siku tatu naona mtoto wa mwenye nyumba ananiletea eti alianua kwenye kamba na nguo zao.!! Nikamwambia hiyo nguo una uhakika umeianua kwenye kamba?? Nikaona anaona km aibu, baada ya siku kadhaa akanisimulia story nzito.
Siku nyingine nimerudi nimechoka nimekaa naangalia tv, naona mkono wa skeleton unanifanyia massage dadeq [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwisho nilimtolea uvivu mwenye nyumba akanipa notisi.!! Ila baada ya kuomba mzigo nikamwambia ntamwambia mkeo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu uliliwa kidee, woiiiiiih
 
Back
Top Bottom