Du mkuu ebu tafadhali ni uchi uchi kabisa bila pichu familia yote ikiwa na jinsia zote 2 ?Mimi na wasela wenzangu enzi hizo tuko form six, katika kujiandaa tukaona ni vyema tupange chumba ili tuweke Kambi ya masomo.
Usiku mmoja nikashtuka usingizini, tukamuona baba mwenye nyumba na mkewe na watoto wako uchi wa mnyama wanaizunguka nyumba.
Nikawaamsha wenzangu. Chumbani kuna Giza hatujawasha taa hivyo tunawaona kwa uzuri sana.
Baada ya wiki tu tukahama. Walikuwa Wana roho nzuri sana utadhani watu kumbe ni mashetani