Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

Aisee
 
Ndio. Kukoma ni kuacha kubisa, yaani akae mbali kabisa na Mimi.
Mtoto akikoma kunyonya , anakuwa amefika ukomo hatorudi tena kunyonya.

Mtoto anaweza kuacha Sasa kunyonya, akanyonya tena baadae
Usitumie hayo maneno sasa.Mwisho utasema nikome kama ulivyokoma kunyonya ziwa la mama yako.Mwanaume unatakiwa kusema..."ACHA UPUUZI.SIPENDI HUO UJINGA WAKO"...!
 
Aisee
 
Aisee
 
A
Nilikaa kwenye ile nyumba kumbe mimi pekee ndio nalipa umeme siku nakuja gundua ananambia lazima nilipe yeye hana kazi nilikiwasha siku hiyo🀨
Aisee
 
Hio nyumba ilikuwa maabara ya vigagula na dalali hawezi sema yeye mradi ale 40 yake ya kodi.
 
Kumbe ujanja wote uliliwa kitamaduni na mwenye mjengo😁😁😁
 
Kwa ujasiri huo hukosi chale hadi za mnduku wewe πŸ˜‚ mkinga ni mkinga tu!
 
Aisee.
 
Kwa ujasiri huo hukosi chale hadi za mnduku wewe πŸ˜‚ mkinga ni mkinga tu
Madalali ndio sio wa kuwaamini kabisaa!!
Anaweza kukupeleka nyumba yenye majini ukakushe damu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kikubwa mwezi mmoja uwepo tu.
 
Maza mmoja mpika vitumbua rafiki yangu kipenzi.
Ye asubuhi 12 utamkuta nje anapika vitumbua. Sa nne kamaliza kazi.
Sasa mimi hiyo ndo mida narudi nna take away kipochi manyoya.
Maza ananiona na lazima tuonane kila nikiigia anapika vitumbua vyake kibarazani.
Vinaingia vi5 kwa siku.

Mi nikaanza kuona soo.
Kumbe maza mwenyewe msela tu.
Kasema wapelekee moto tu.
Maza badae kanipa master plan,tuweke komeo la kufuli pale mlangoni
Mi nikiwa ndani nagonga ye anafunga na kufuli nje.
Maana pale mademu walikua hawakauki na hamna mawasiliano.
Sasa maza atawajibu tu kasafiri huyo.
Huku nakula mbususu ndani hukoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
Yule maza km kafariki maua yake apewe.
Anyway niliacha kodi kiroho safi sio kwa ubaya kabisa nilikua napotea duniani.
 
Ukorofi huoπŸ˜‚ mi siwezi kuja kwako kama unafuga mijibwa. Hell no!!!
 
Maza alikuwa bahariaπŸ˜‚
 
Mihuni miwili mlikutana.
 
Hilo joka mngelilisha ng'ing'i aka numbu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahio umesolve kero kwa kumuua mwenye nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…