Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

Ni vizuri kufanya baada tukifata na kuzingatia mafundisho ya dini zetu sjui kama kuna dini inaruhusu uzinzi
Lakin pia kufanya kabla inasaidia kujua baadh ya vtu muhm kwa mwenzako ambavyo ukivijua baada vinaweza kupelekea ndoa kuvunjika kama vile mtu ambaye hakuridhishi kwasabab za kimaumbile ama kutokana na mfumo wake wa maisha,kuna ambao hawafunction kabisa lakin anapenda kuoa awe na mke
Umemaliza mkuu

Kwema lakini puritygirly
 
Mkuu mgegedo kuanza is innevitable,, unless otherwise muandikishe kabisa kuwa usipokuwa bikira ndoa hakuna...
Reasons
Pili: siku hizi kuna (Shemales), hawa wanakuwa kama mademu ila kitendea kazi cha kiume(mkuyenge).. asa Nigga lazima ujue haya mapema usije ishia kuliwa badala ya kula..

Tatu: Hisia za ngono zinakuja mapema sana kutokana na life style so hata usipopewa wewe jua mwingine anapewa,, na demu ukibana ujue jamaa kwingine anapiga kama kawaida. hili limepoteza UAMINIFU.

Nne: Shake well before use.. hapa nazungumzia kuna mashoga,, mahanithi,, wasioweza kazi,, wale wa kimoja chali,, wenye Mihogo ya jang'ombe,, vibamia, +++n.k.. so hata demu lazima ujiridhishe mapema Service ipi inakufaa.

Conclusion: Kufanya mapenzi kabla ya ndoa ni muhimu kama upo ulimwengu huu tuliopo ambao na kina ndugai wapo,, Kufanya baada ni muhimu kama unaishi Jupiter, Mars au ulimwengu wa kiroho.
 
Inategemea na mahitaji ya kila mmoja,unaoa au kuolewa kwa ajili ya nini?kama unataka kuhalalisha ngono ni vyema mnyanduane tu kabla ili ujue panapovuja,usije ukaingia kwenye ndoa na mtu usiyeendana nae pengine mchovu mchovu au hawezi kabisa!!!!

Kibiblia ni heri kufanya baada ya ndoa,maana miili yetu ni hekalu la Mungu unapofanya zinaa/uasherati unalinajisi hekalu la Mungu!!! Zinaa ni Dhambi kubwa inayotendeka ndani ya mwili wa mwanadamu!!!

Umetaja Biblia hapo, unaweza kutupa rejea ni wapi imeandikwa hivyo ili nasi tusome?
 
Zingatieni kinga au mpime kabla ya tendo.

Mtupunguzie masingo maza na wapikiwa uji.
 
Shake well before use!


Tena ni vizuri hata mkifunga ndoa tayari mwanamke ni mama kijacho cha mwezi au miezi 2 kabisa make kuna wanawake tasa/wagumba.
 
Back
Top Bottom