IT Student
Member
- Nov 22, 2021
- 31
- 40
Kwanza kabisa wewe ni muumini wa Dini gani? Kitu pekee unachopaswa kujua ni kwamba HUPASWI KABISA KUFANYA VITENDO HIVYO BEFORE MARRIAGE. Wote wanaofanyaga KABLA ya NDOA ni watu WALIOPAPAGAWA na MAPEPO, pia wote wanokushauri (hata kama ni Mchumba wako) kwamba MFANYE SEX BEFORE MARRIAGE tambua kwamba HUYO NI SHETANI ANATAKA KUKUWEKA MBALI ZAIDI NA MUNGU, (keep in mind: Shetani yupo ndani ya watu). UKIAMUA KUFANYA SEX BEFORE MARRIAGE maana yake UMEAMUA KUWA MFUASI WA IBILISI. Sasa siyo lazima ukubaliane na haya niliyokuandikia lakini siku moja utakumbuka hii text niliyoandika hapa. Pia wale waliopagawa na mapepo watakwazika na hii text niliyoandika. Mimi sina lengo la kumuudhi yeyote na sipendi mtu aharibikiwe.