Michelle98
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 673
- 2,066
Tutaamini vipi kama bikira kwa maneno[emoji41][emoji41]
Umemaliza mkuuNi vizuri kufanya baada tukifata na kuzingatia mafundisho ya dini zetu sjui kama kuna dini inaruhusu uzinzi
Lakin pia kufanya kabla inasaidia kujua baadh ya vtu muhm kwa mwenzako ambavyo ukivijua baada vinaweza kupelekea ndoa kuvunjika kama vile mtu ambaye hakuridhishi kwasabab za kimaumbile ama kutokana na mfumo wake wa maisha,kuna ambao hawafunction kabisa lakin anapenda kuoa awe na mke
Siku hizi uongo ni ukweli na ukweli ni uongoKutokana na watu kutokuwa waaminifu imekuwa ngumu mnooo kuamini kitu bila kukiona kwa macho...........lkn kuna hali uongo ujitenga na ukweli[emoji2955][emoji2955]
Namshkuru Mungu aisee ni kwema
Kidini huruhusiwi kufanya mapenzi hadi ndoa ifungwe kabisa.Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo.
Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya.
Before or after ndio poa
ww fosi mapema ucje ukagongewa sku moja kabla ya ndoaWajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo.
Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya.
Before or after ndio poa
Madhaifu yake tu ila wewe akavumilie tu au?Mimi nasema,ishi naye kwanza kabla ya ndoa ili uone Kama madhaifu yake yanavumilika.
Wadhani tunda lilikuwa lipiWe utakua una biblia yako tofauti na hizi tunazosoma sisi. Zakwetu zimeandikwa walikula tunda [emoji16]
Kila mtu aangalie madhaifu ya mwenzie Kama yanavumilika.Heri uchumba huvunjike kuliko ndoa.Madhaifu yake tu ila wewe akavumilie tu au?
HahahhaKidini huruhusiwi kufanya mapenzi hadi ndoa ifungwe kabisa.
Ila kiukahaba kahaba ni muda wowote.
Inategemea na mahitaji ya kila mmoja,unaoa au kuolewa kwa ajili ya nini?kama unataka kuhalalisha ngono ni vyema mnyanduane tu kabla ili ujue panapovuja,usije ukaingia kwenye ndoa na mtu usiyeendana nae pengine mchovu mchovu au hawezi kabisa!!!!
Kibiblia ni heri kufanya baada ya ndoa,maana miili yetu ni hekalu la Mungu unapofanya zinaa/uasherati unalinajisi hekalu la Mungu!!! Zinaa ni Dhambi kubwa inayotendeka ndani ya mwili wa mwanadamu!!!
Uchumba miaka 13?Kila mtu aangalie madhaifu ya mwenzie Kama yanavumilika.Heri uchumba huvunjike kuliko ndoa.
Hivi hili swali halijajibiwa??Ngoja kwanza...wewe ni bikra au used?
Wewe maoni yako Ni yapi? Mimi Ni heri kubariki ndoa.Uchumba miaka 13?