Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KULA CHUMA HIKOKimeumana😩
Usije kujiroga ukamwambia aiseeNi vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
Kuna mmama alikuwa anatunza salary slips offisini. Mwingine mke wa mchungaji yeye alisema EDA sio ya FAMILIA WALA MUMEWE NI YAKE.
NB:EDA ULIKUWA KUBWA kuliko NET SALARY yake.
Ndio maana nikaoa mdada sio mwajiriwa [emoji1787][emoji1787]
Kwa aliyeko Dodoma Jimbo lipo wazi[emoji41][emoji41][emoji41] kuhonga mwisho 50k kwa mwezi sio SIKU[emoji23][emoji23][emoji23]
Watakubali sasa wanajifanya waajiriwa😂😂😂Hii ofa noma waliopo Dodoma washindwe wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote wapo kwenye sistimuWatakubali sasa wanajifanya waajiriwa😂😂😂
Usithubutu. Kama unakula Usd 1200/month mwambie unachukua Usd 450.Ni vizuri kumwambia mkeo kiwacho Cha pesa unacholipwa kazini?
Watu kama nyie mkifa mtoto yenu inateseka vibaya sana.Usije kujiroga ukamwambia aisee
Mna kma ww unalipwa laki 3 basi m.ke yy atamtafuta anaelipwa laki 5 apo sasa ndo utajua hujui
Kma unampa mahitaji yake mshahara ni siri yako usijaribu kumwambia ukaona ndo utapendwa ohooo mm nimemaliza
Dom ina mikwara balaa bora tulivokuwa Dar hasa ukute mtu yupo MTUMBA/CHAMWINO ndio wanakuaga USALAMA 🤣🤣🤣🤣Wote wapo kwenye sistimu