Ni vizuri mkawafundisha wake zenu kuhusu kufanya Ngono salama, watu wanaisha ndoani

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ushauri .

Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry

Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
 
Ilikuwaje mpaka akaingia kwenye mpango wa Makamba
 
Ushauri .

Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry

Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Hahahhaa biology ya form 2 alipata F sio

Yaani mambo madogo kama ukimwi unashindwaje kujikinga nao ni lofa sana 😹
 
Back
Top Bottom