Ni vizuri mkawafundisha wake zenu kuhusu kufanya Ngono salama, watu wanaisha ndoani

Ushauri .

Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry

Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Daah very sad! Mwenyez Mungu atuepushe maana wengine wanapata kwa bahati mbaya.
 
Mleta Mada ni muongo tena mjinga sana. Yaani umpeleke jamaa yako kuingizwa kwenye system ya wenye ukimwi kwa kipi yeye kipofu!?
Sema tu ni wewe mwenyewe.
Halafu usitishe wala kuharibia watu ndoa. Kila binadamu ana ajali yake ya maisha. Ukimwi sio kifo uanze kunyanyapaa wenzako.
 
Ushauri .

Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry

Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Yaani nyie watu wa dar mnashida kichwani, eti umwambie asiende dry? Aisee!
 
Daah very sad! Mwenyez Mungu atuepushe maana wengine wanapata kwa bahati mbaya.
Huyo mwenye mke inabidi akapimwe akili. Yaani umwambie mke wako wa halali, uliyemchumbia, ukamlipia mahari, mkafunga ndoa kanisani au kwa shekhe, umwambie aende kupakuliwa huko lakini asipakuliwe kavukavu (dry!!!!!). Loh. Brother, nenda Milembe upimwe akili.
 
Sijakuelewa unaniambia mimi au mtoa uzi? Naona unachanganya madesa
 
Mume anachepuka kwa kuvaa kinga,mke anachepuka kwa kutovaa kinga,halafu mkikutana ndani,mnafanya bila kinga, kwasababu nyinyi ni wanandoa.Tatizo hilo.
Kama kuchepuka imeshakua desturi,UKIMWI hauwezi kupungua,kwani huku ndoa zinahimizwa,na watu wakioana wanahimizana kuchepuka,ugonjwa utapunguaje?
 
Back
Top Bottom