DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ilikuwaje mpaka akaingia kwenye mpango wa MakambaUshauri .
Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry
Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Hahahhaa biology ya form 2 alipata F sioUshauri .
Hakikisha unamwambia mkeo kuhusu kufanya Ngono salama , maana kuchapiwa sio swala Tena so suluhisho ni kuhakikisha mkeo unamwambia asiende dry
Nipo hapa hosptali ya wilaya nimemsindika Jamaa yangu ili wamuingize katika Mfumo wa Gridi ya Taifa .
Jamaa yangu kashanasa tiyari.
Mwanangu Yule manzi wa JF aliyekupa miadi vip anasomeka au dume jike au chengaNdoa ni upumbavu sana
[emoji23][emoji23][emoji4]Kwahiyo bwawa limeanza kuzalisha umeme huko wilayani?
[emoji53]Mwanangu Yule manzi wa JF aliyekupa miadi vip anasomeka au dume jike au chenga