Ni vyema Israel imuue na Ayatollah wa Iran

Ndio next target ila wanasibiri Trump apite wafanye jambo lao. Ndio maana Iran ameanza tetemaaaa chezea Wayahudi
 
Hawa magaid wa kiisrael,walimuua Yesu,walimpiga,wakamvalisha nepi,wakamtemea mate,wakamchoma mkuki,wakamsulubu,kisha wakamuua,na mpaka sasa,wanamuita Yesu,mtoto wa nje ya ndoa.Wafikiri wakimuua huyo Ayatullah,ndio sawa na kumuua Yesu?Aliyekuja kuwakomboa wao Waisrael?
 
Unajua marekani mahali popote kwenye vita yeye hutafuta mgongo wakujifichia, ilihali usijue unapigana na yeye.. hapo mashariki ya kati hakuna Israel mnarekani yupo hapo kwa kivuli cha Israel....
 
Kweli
Na wewe ni mfuasi wa alaaa?
Hawa,magaidi wa Israel,ndio walimuua Yesu,walimpiga,wakamdhihaki,wakamvalisha nepi,wakamchoma mkuki,wakamtemea mate,wakamuua,na mpaka sasa wanamwita mtoto wa nje ya ndoa,na wakati Yesu alikuja kuwakomboa hao waisrael,wafikiri watashindwa kuua mwingine yoyote.
 
1. Kwenye UNGA kiongozi yeyote anaweza kusema chochote kile. Akina Hugo Chavez, Mahmoud Ahmadinejad wameshawahi kuisema vibaya Marekani na hakuna kilichowatokea. UNGA ni jukwaa huru la kimataifa. Halitumiki kuwaziba watu midomo na wala halitumiki kama mtego wa kuwakamatia watu. Hata Gadaffi alishahutubia UN na hakuzibwa mdomo wala kukamatwa.

2. Israel ni mtoto wa Marekani. Kila mwaka inapewa mabilioni ya dola ili kuimarisha ulinzi wake. Vifaa vingi, kama sivyo, vilivyo vya kijeshi vinavyotumiwa na Israel ni vya kimarekani. Hizo F-22, F-35, n.k.. zote ni za Wamarekani.

3. Huna hoja yoyote ile zaidi ya ujinga tu uliojaa kichwani mwako.
 
Kuna habari Kwamba ayatollah Ali khameney ana kansa ya kibofu cha mkojo na iko stage ya hatari Kwa Sasa..Kwa hio keshatanguliza mguu mmoja mortuary..Yeye ni Kama embe linalosubiriwa kuanguka.
Duh! Kwa hiyo babu anajikojolea tu kama ng’ombe? 🤣
 
Tatizo uwezo huo hana lebanon ameweza kwa kuwa amepata intelligence kutoka nchi za magharibi zote akisaidiwa na cia vya kutosha na pentagon ila yeye kama yeye israel hana uwezo huo na hilo ndilo kosa hizbullah wamefanya wanadhani wanapambana na israel hapo hapo kuna balozi za usa ndani ya lebanon .
 
Hivi yule kiongozi wa Hamas hakuuliwa akiwa Tehran?
 
Hivi yule kiongozi wa Hamas hakuuliwa akiwa Tehran?
Muunganiko wa nchi zote za magharibi kuhakikisha Netanyahu anapata ushindi ili aache vita gaza ila naona wanzidi kumuunga mkono zaidi na yeye anazidi kuwapeleka mbali zaidi lengo lao kuepuka allout regional war ila wanayoyafanya yanaviashiria vya kupelekea regional war .
 
Duh! Kwa hiyo babu anajikojolea tu kama ng’ombe? 🤣
Kuna habari anamuandaa mwanawe Mojtaba Ali khameney awe ayatollah maana anajua anytime safari yake ya kaburi itafika..Kuhusu kujikojolea sina hakika maana siku hizi kuna pampasi..na Iran zitakuwa zina soko maana kuna Washia wengi na unajua tena washia ndio wameruhusu kuchezea hadi mbolea ya wake zao hasa kutokana na tafsiri ya. lile andiko kwamba ""wanawake ni mashamba yenu nanyi mwaweza kuyalima vyovyote mtakavyo.""
 
🤣
 
Wanamlia timing, akijichanganya tu kidogo wanakula kichwa.
Mnamjua Hassan Khalil Yassin, huyo ndiye aliyechukua nafasi ya Nasrallah mara baada ya Nasrallah kupaishwa mavumbini;
Habari ya hivi punde na yeye kwishne
 
Wamemuua Yesu na dunia ipo kama jana tu.

Itakuwa kuwatishia kina Ayatollah watu wanaoishi jwa ajili ya kufa?

. Huko ndiko ukisikia "kumtishia paka kwa samaki".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…