Ni vyema Israel imuue na Ayatollah wa Iran

Wamemuua Yesu na dunia ipo kama jana tu.

Itakuwa kuwatishia kina Ayatollah watu wanaoishi jwa ajili ya kufa?

. Huko ndiko ukisikia "kumtishia paka kwa samaki".
Hamna hamu na hawa miamba 🤣.

 
Hinikama muvi ,Ayatola nikubwa la maaduui, linasumbua mwanzoni.. ila mwishon lazima li uwawe
 
Sawa mwerevu.
 
Mkuu mbona kama haufuatilii vyombo vya kimataifa vilivyo na majibu yote ya hoja yako?

Vimeeleza wazi jana kwamba mweshimiwa mtukufu Ayatollah kafichwa sehemu isiyojulikana baada ya kichinjo cha Nasralah.

Na kuhusu kumuua Rais wa Iran, mbona Iran wenyewe juzi wamekiri kuwa kifo cha Rais Raisi kilitokana na 'peja' na kulaumiwa Israel kama ilihusika moja kwa moja!

Au na huyu Rais wa sasa unataka wachinje?

Akiufyata hawamfanyi kitu, lakini akianza ngebe za chuki kama za Nasralah ama Ayatolah, wataruka naye.
 
Ili Israel ijihakikishie ushindi dhidi ya maghaidi wa Kiislamu, ni lazima imuue Ayatollah wa Iran.
Hili litakuwa tangazo la vita nav kuharibu kila kitu, hawawezi wanaenda kwa ratiba, muda wake utafika sasa hivi wanasafisha njia.
Wamuue Ayatollah, wamuue na Rais wa Iran.
Mbona Rais tayari kwenye ajali ya chopa, ila Netanyahu asingedai kumuua maana angetangaza vita moja kwa moja na Iran. Hiyo imepita kimya komya. Ndio maana hawa samaki wadogo wadogo wanapigwa na kutangazwa.
 
We endelea kurusha ngumi hewani huku wenzako wanazidi kupelekwa jehanamu kuvikula vibinti bikra 72 🤣.

Nyie Wasilamu ni vilaza sana.
Hao qarangibrabgi wenzenu ndiyo nwisho wao umefika.

Nusu yao wameeikinbia nchi. Na wiki hii lazima nusu nyingine wakimbie.
FaizaFoxy amechanganyikiwa mpaka anachokiandika hakisomeki. Allah has proved to a paper kagod na Mohamed aliisha jiozea na hana tumaini la ufufuo kamwe. Maayatolah ndiyo hao wamewatosa. Ujinga wa Masunni kama Faiza ni kuwa hawakujifunza kwa undani kuwa uadui wa Sunni na Shia ni mkubwa kiasi kuwa Waarabu sunni hawana mpango na mashia wa Hezbollah. Huko kwa Hamas na wao wamejichanganya na Mashia hivyo Waarabu wa Sunni hawana mpango nao. What’s ahead ni mchinjano wa Sunni na Shia
 
Wanajuana na kutumana hao.Usijisumbue.
 
Acha auawe akapewe mabikira 72 😆
 

Attachments

  • FB_IMG_1727609282883.jpg
    54.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…