Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Ni vyema viongozi wa klabu za michezo wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Yanayoendelea sasa kwa Yanga na ambayo pia yamekuwepo Simba kwa baadhi ya viongozi wao kuwa wanachama waandamizi wa vyama vya siasa (hususani CCM) na kuleta mgongano wa kimaslahi kwa kulazimisha milengo yao ya kisiasa kuwa sehemu ya mienendo ya klabu wanazoziongoza, nadhani inapaswa liwe sharti sasa kwa katiba za klabu hizo kuweka wazi kuwa, kiongozi au mdhamini wa klabu hiyo atapaswa kupoteza uanachama wa chama chake cha kisiasa ili kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom