Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Acha utoto wako hapa wewe
 
Hata wajinga nao wana sauti kwa hiyo ukitaka usikilize kila sauti utakuwa nawe ni mjinga zaidi ya hao wajinga.Kasome habari za Galileo
 
Hakuna vijana wajinga na machawa kama sisi vijana wa tz ,hatuwez mwambie mtu hapa umekosea hat Kama kwel kakosea ,na hii tabia ilianzishwa na viongoz wetu wa ccm wakambukiza uvccm.yaan hata kiongoz mkubwa akakosea au akatukana hao vijana wote lazma wamtukuze Kwa kumsifia ,hata akawajambia mdomoni watacheka na kusema ushuzi wa kiongoz ni pafyum inayowasadia sana,.. sjasema vijana tuanze kua wakaid ila namanisha tujielewe na kukemea uovu hata kama upo kwenye nguo zetu tulizo vaa,,,
 
Akili za Lumumba bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Kaandikaaaa kapeleka waipitieeee. Hatimaye " great thinker" wa kijani kainuka na hii. 0 % Maksi umepata kuanzia heading.
 
Usingejitoa ufahamu kiasi hicho hadi umekuwa chukizo kwa ukoo wako hadi wanatamani wakulishe sumu ufe kuliko kuendelea kuwafedhehesha kiasi hiki
Wewe ndio watu kila siku wanatamani wasikie umekunywa sumu na kufa maana wanaona ni chukizo mbele za wanadamu na Mungu pia.
 
Ili iweje Mkuu!? Je unadhani Samia ana mchango mkubwa namna hiyo kuliko Baba wa Taifa? Au Sokoine?! Samia ana mchango mkubwa kiasi kwamba anamzidi uzalendo au uchapakazi Kawawa!? Ni kitu gani ambacho kinamfanya Samia aonekane ni kiongozi wa tofauti kushinda Ally Hassan Mwinyi??

Kuna wakati zungumzeni vitu vilivyo na matiki, kwa kasi ya mapambio yanayoendelea mwisho wa siku Samia mwenyewe ataona ni matusi?! Je unadhani BOT kuweka sura au picha ya Samia kwenye Noti au Sarafu ndo kipimo cha kuonesha uzalendo wa Samia kwa Tanganyika?!

Kaa chini, kisha andika mambo ambayo Marais wote wa Tanganyika pamoja na Zanzibar wameyafany halafu linganisha uone Samia anakaa nafasi gani.

Haya ni matusi ya kiwango cha 5G! Kwanini hujasema Mkapa, au Kikwete au Magufuli? Ila umeingia mzima mzima kwa Samia?! Kabla hujaitamkia umma kuwa Noti za watanzania ziwe na taswira ya Samia waambie kwanza wawe na pesa zenye sura za watangulizi wake waliofanya makubwa na kupaua njia ambayo kwa sasa ndo anaitembelea.
 
Kwanini unakurupuka kiasi hicho kujibu hoja usiyoielewa? Umeelewa msingi wa hoja yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…