Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Kwa hiyo tuseme Ndio maana elfu Kumi.elfu Tano zinaondolewa kwenye mzunguko....
Tanzania tunaupiga mwingi...
 
Huo umwanamke wake ni ajabu katika Ulimwengu?

Na siku tukimpata msafwa kuwa Rais, utasema sura yake uwekwe kwenye noti kwa sababu hakuna msafwa aliyewahi kuwa Rais kabla yake!! Hizo ni akili au matope?
Au mlemavu labda albino ,kipofu ,au mwenye ulemavu wa miguu naye picha yake iwekwe?
 
Vitu vingine vinafaa kuongea ukiwa na familia yako siyo mbele ya jamii yenye akili timamu.
 
Na za shilingi mia tano zenye picha ya chizi Lucas Mwashambwa.
 

nasoma dozi ulizokabidhiwa. vipi nduguyo Tlaatlaah naye hajabubujikwa kwa machozi japo ya kiuongo uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…