Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Lucas Mwashambwa ni Robot siyo binadamu! Hivyo msijibizane na hili lilidude liko programmed kichawa chawa

Ushenzi kabisa.

Mwambie mama akemee ufisadi na mikataba mibovu. Asimamie imara aache mambo ya kuwaachia watu wale Kwa kamba zao.

Grounds huku maisha ni magumu. Watu hawana future. Udalali na uchawa ndio umekua diri na sio kazi.

Acha ushamba.
 
Naona mawazo ya kikabila na ukabila pamoja na chuki binafsi ndio vimekujaa kichwani mwako.
Dogo pambana teuz zipo ,mbona kila wakat watu wanateuliwa ukuu wa wilaya ? Kwan hata ukapata uteuz wa wilaya moja pembezon mwa nchi si sawa? Pambana na uskate tamaa
 
Naihurumia ada iliyotumika kumtengeneza kiumbe huyu kua mwendawazim
 
Mpaka sasa hivi huu uzi reactions zake ni negative 8 just imagine -8 ๐Ÿ˜ณ Hakika mapambio yakizidi yanakuwa ni matusi
 
Lucas kiukweli mada zako ni kama Huwa unataka kiongozi wetu asemwe vibaya,

Jaribu kutafuta balance kwenye uandishi wako kumhusu kiongozi mkuu,

This is not fair.
 
Comment zaidi ya 80% zimekataa HOJA Yako dhaifu,

Uwe unaandika sense hata mara Moja Moja.
Moja ya msingi mkubwa wa kuanzisha hoja yoyote ni kukubali kupokea kukusolewa! JF kila mtu ana mawazo yake ila inapofikia uzi una reactions -8 ๐Ÿคฃ aisee lazma ujiulize tena ๐Ÿ˜ƒ
 
Lucas anamtukanisha kiongozi wetu indirect ktk JAMII!
Hivi unaamka asubuhi kila mtu anakusifia kuwa umependeza sana, kiatu kizuri, umenyoa vizuri, una meno mazuri, aisee itafika sehemu utachukia balaa na kuona ni kama unafiki fulani!
 
Moja ya msingi mkubwa wa kuanzisha hoja yoyote ni kukubali kupokea kukusolewa! JF kila mtu ana mawazo yake ila inapofikia uzi una reactions -8 ๐Ÿคฃ aisee lazma ujiulize tena ๐Ÿ˜ƒ
Sasa kianziasha Uzi ambao 80% wanatoa comment hasi Kwa kiongozi mkuu hii Si sawa!!

At least angekuwa anabalance Kwa kuandika mambo ya maana.
 
Lucas kiukweli mada zako ni kama Huwa unataka kiongozi wetu asemwe vibaya,

Jaribu kutafuta balance kwenye uandishi wako kumhusu kiongozi mkuu,

This is not fair.
Tangia lini wewe umekuwa na upendo na RAIS wetu? Wewe si muda mwingi unamkashifu Rais?Embu acha unafiki wako mnafiki mkubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ