Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Mbona ime sahau kuweka namba ya simu ili utumiwe ten na Lumumba? Chawa +jobless mna tuharibia Taifa.
Kwa lipi alilo fanya la kumuweka kwenye noti??? Au kwa vijembe?
 
Na unafahamu kuwa sio mwanamke wa kwanza kuwa Rais Duniani?
Wenye akili hilo haliwashangazi kabisa.
Wanaelewa kuwa mwanamke anauwezo wa kushika nafasi yoyote kama mwanaume.
Kwani Dunia ni Nchi? Mimi nazungumzia Tanzania ambayo ndio nchi na Taifa na wala hakuna Rais au serikali ya DUNIA.
 
Mbona ime sahau kuweka namba ya simu ili utumiwe ten na Lumumba? Chawa +jobless mna tuharibia Taifa.
Kwa lipi alilo fanya la kumuweka kwenye noti??? Au kwa vijembe?
Nimeacha nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu mtanzania
 
Hizi
Watu kama wewe ndo mnafanya huyo matha aonekane kilaza Mnatumia nguvu nyingi kumpamba lakini hapambiki.Kizuri kinajiuza chenyewe,huna haja ya kupiga zumari ili watu waone.Hicho unachokitaka hakina faida kwa nchi ila ni uchawa tu unakusumbua.Nchi hii imejaa watu wa hovyo kama wewe,kika siku kusifia upumbavu.
 
Kweli huna uelewa wa mambo wewe.akili yako bado ndogo sana.
 
Kwani Dunia ni Nchi? Mimi nazungumzia Tanzania ambayo ndio nchi na Taifa na wala hakuna Rais au serikali ya DUNIA.
Kuna muda fulani nimekuambia uwe unaficha upumbavu wako hata kidogo.

Ngoja nikuulize swali la mtu mwingine unayemsifia sana.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana nafasi nyingine au cheo kingine kimataifa.
Hebu kitaje ili ujue kwa nini nimeandika neno Dunia unalolikataa.

Na hiyo Tanzania kama haihusiki Duniani.
 
Kwani Tanzania ni Nchi ya Kifalme kama Uarabuni? Picha za watu za nini labda ionyeshe rasilimali zilizopo na si sura za watu. Ila kama ndio tunaenda kifamilia muda utatupatia jibu.
 
Nahama Nchi!
 
Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Lucas Mwashambwa ni Robot siyo binadamu! Hivyo msijibizane na hili lilidude liko programmed kichawa chawa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…