Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hata mwendawazimu hayuko tayari kufanya kazi ya kumsifia mwanadamu mwenzake ili apate tonge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafahamu kwa sasa tunakusanya hadi Trilioni mbili kwa mwezi kama mapato? Unafikiri yangepatikana wapi kama siyo kuimarika kwa uchumi na shughuli za kiuchumi?Ndiyo uchumi wa bodaboda,vikoba,mamantilie.
Mimi naongea ukweli na siyo kusifia.Hata mwendawazimu hayuko tayari kufanya kazi ya kumsifia mwanadamu mwenzake ili apate tonge.
Nakusamehe tu dogo ili isije onekana nakutenga kutokana na matatizo yako ya akili.Huyu pepo anatia aibu sn mkoa wa Songwe
Mbona ime sahau kuweka namba ya simu ili utumiwe ten na Lumumba? Chawa +jobless mna tuharibia Taifa.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia itakayo dumu na kukumbukwa vizazi na vizazi na kuwa Sehemu ya historia ya Taifa letu. Rais Samia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe ameweka historia ya kipekee kabisa kwa kuwa Mwanamke wa Kwanza kushika nafasi ya Urais hapa Nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Rais Samia ni Mwanamke na Mama aliyelivusha Taifa katika wakati mgumu sana katika Historia ya Taifa letu.ikumbukwe kuwa ameshika Nchi katika kipindi ambacho Uchumi wa Dunia ulikuwa umetikisika kuwahi kushuhudiwa katika Historia ya Dunia ukiachana na ule uliotokea miaka ya 1930-1945 ambao ulisababishwa na mambo mbalimbali kama tunavyojifunza katika Historia.
Rais Samia amepokea nchi wakati Dunia ikishuhudia viwanda vingi vikiwa vimesimamisha uzalishaji ,ukosefu mkubwa wa ajira,mdororo wa kiuchumi kutokana na kupungua kwa shughuli za kiuchumi na uzalishaji,kupanda au mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya petroli na dizeli ambavyo ni injini ya uchumi,kupanda kwa bei ya Mbolea,mzunguko mdogo wa pesa mitaani na mengine mengi sana.
Ambavyo hivyo vyote vilichochewa na ugonjwa wa COVID-19 pamoja na vita vya ukrein.lakini kwa umadhubuti,uhodari, uimara ,ushupavu ,akili kubwa , maono makubwa na Uweza wa mwenyezi Mungu tulishuhudia Mama huyu shupavu na madhubuti akilivusha Taifa kwa kuchukua hatua mbalimbali. kama vile kutoa Ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika nishati ya mafuta,kutoa Ruzuku ya Billion mia mbili hamsini katika mbolea hali iliyoshuhudia bidhaa hizo zikishuka bei.
Ndio Maana tuliona na kushuhudia wakenya wakivuka mpaka na kuingia Tanzania kununua mafuta kutokana na bei kuwa ndogo Nchini ukilinganisha na Nchini kwao.hali ya kiuchumi Nchini ilikuwa nzuri ukilinganisha na nchi yoyote ile hapa barani Afrika.lakini wakati akifanya haya Dunia ilishuhudia Mama huyu aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu akitoa maelfu ya ajira kwa vijana,kujenga miundombinu,kusogeza huduma karibu ya wananchi,kuongeza bajeti katika kila wizara kama ambavyo tuliona katika kilimo kuongeza bajeti kutoka Billion 250 hadi Billion 970.
Tuliona akifanya juhudi kubwa ya kufungua nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuvutia wawekezaji pamoja na watalii kupitia royal tour iliyopelekea ongezeko la watalii kufikia Millioni 1.8 kwa mwaka.tuliona bei ya mazao Kama vile korosho ikipaa bei tena hasa baada ya kufanya ziara rasmi Nchini India na kukutana na makampuni na wafanyabiashara wa korosho.
Hayo na mengine mengi sana yalifanya Taifa na nchi yetu kusalia imara na yenye utulivu wa hali ya juu katikati ya hali mbaya ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima.lakini sisi tukawa katika kisiwa chetu cha utulivu na ustahimilivu wa kiuchumi chini ya Jasusi wa uchumi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Najuwa wenye upeo mdogo wataanza kujadili habari za gharama za kuchapisha pesa hizo,na wengine watasema siyo mahitaji ya watanzania.lakini niwaambieni tu kuwa faida aliyoliletea Taifa letu ni kubwa sana.asingetumia akili tungekuwa tumesambaratika kama Taifa.hali ya umaskini na uchumi ingekuwa mbaya sana hapa nchini.na tusingeona kuendelea kwa miradi mikubwa kama Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kutupatia megawati 2115 wala kuzinduliwa kwa reli ya SGR na usafiri huo wa treni ya umeme.
Tumpeni heshima yake huyu Mama ,tuache wivu na chuki binafsi,tuache ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda na jinsia .Mama yetu anastahili kupewa heshima hiyo ya kuchapisha noti zenye sura na picha yake.View attachment 3136898
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani Dunia ni Nchi? Mimi nazungumzia Tanzania ambayo ndio nchi na Taifa na wala hakuna Rais au serikali ya DUNIA.Na unafahamu kuwa sio mwanamke wa kwanza kuwa Rais Duniani?
Wenye akili hilo haliwashangazi kabisa.
Wanaelewa kuwa mwanamke anauwezo wa kushika nafasi yoyote kama mwanaume.
Nimeacha nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu mtanzaniaMbona ime sahau kuweka namba ya simu ili utumiwe ten na Lumumba? Chawa +jobless mna tuharibia Taifa.
Kwa lipi alilo fanya la kumuweka kwenye noti??? Au kwa vijembe?
Majibu yote la swali lako yapo katika andiko langu ewe mvivu wa akili na upeo mdogo.kwa lipi alilofanya ambalo mkapa, kikwete na magufuli ambao hawana sura kwenye noti hawajafanya?!
HiziNdugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia itakayo dumu na kukumbukwa vizazi na vizazi na kuwa Sehemu ya historia ya Taifa letu. Rais Samia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe ameweka historia ya kipekee kabisa kwa kuwa Mwanamke wa Kwanza kushika nafasi ya Urais hapa Nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Rais Samia ni Mwanamke na Mama aliyelivusha Taifa katika wakati mgumu sana katika Historia ya Taifa letu.ikumbukwe kuwa ameshika Nchi katika kipindi ambacho Uchumi wa Dunia ulikuwa umetikisika kuwahi kushuhudiwa katika Historia ya Dunia ukiachana na ule uliotokea miaka ya 1930-1945 ambao ulisababishwa na mambo mbalimbali kama tunavyojifunza katika Historia.
Rais Samia amepokea nchi wakati Dunia ikishuhudia viwanda vingi vikiwa vimesimamisha uzalishaji ,ukosefu mkubwa wa ajira,mdororo wa kiuchumi kutokana na kupungua kwa shughuli za kiuchumi na uzalishaji,kupanda au mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya petroli na dizeli ambavyo ni injini ya uchumi,kupanda kwa bei ya Mbolea,mzunguko mdogo wa pesa mitaani na mengine mengi sana.
Ambavyo hivyo vyote vilichochewa na ugonjwa wa COVID-19 pamoja na vita vya ukrein.lakini kwa umadhubuti,uhodari, uimara ,ushupavu ,akili kubwa , maono makubwa na Uweza wa mwenyezi Mungu tulishuhudia Mama huyu shupavu na madhubuti akilivusha Taifa kwa kuchukua hatua mbalimbali. kama vile kutoa Ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika nishati ya mafuta,kutoa Ruzuku ya Billion mia mbili hamsini katika mbolea hali iliyoshuhudia bidhaa hizo zikishuka bei.
Ndio Maana tuliona na kushuhudia wakenya wakivuka mpaka na kuingia Tanzania kununua mafuta kutokana na bei kuwa ndogo Nchini ukilinganisha na Nchini kwao.hali ya kiuchumi Nchini ilikuwa nzuri ukilinganisha na nchi yoyote ile hapa barani Afrika.lakini wakati akifanya haya Dunia ilishuhudia Mama huyu aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu akitoa maelfu ya ajira kwa vijana,kujenga miundombinu,kusogeza huduma karibu ya wananchi,kuongeza bajeti katika kila wizara kama ambavyo tuliona katika kilimo kuongeza bajeti kutoka Billion 250 hadi Billion 970.
Tuliona akifanya juhudi kubwa ya kufungua nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuvutia wawekezaji pamoja na watalii kupitia royal tour iliyopelekea ongezeko la watalii kufikia Millioni 1.8 kwa mwaka.tuliona bei ya mazao Kama vile korosho ikipaa bei tena hasa baada ya kufanya ziara rasmi Nchini India na kukutana na makampuni na wafanyabiashara wa korosho.
Hayo na mengine mengi sana yalifanya Taifa na nchi yetu kusalia imara na yenye utulivu wa hali ya juu katikati ya hali mbaya ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima.lakini sisi tukawa katika kisiwa chetu cha utulivu na ustahimilivu wa kiuchumi chini ya Jasusi wa uchumi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Najuwa wenye upeo mdogo wataanza kujadili habari za gharama za kuchapisha pesa hizo,na wengine watasema siyo mahitaji ya watanzania.lakini niwaambieni tu kuwa faida aliyoliletea Taifa letu ni kubwa sana.asingetumia akili tungekuwa tumesambaratika kama Taifa.hali ya umaskini na uchumi ingekuwa mbaya sana hapa nchini.na tusingeona kuendelea kwa miradi mikubwa kama Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kutupatia megawati 2115 wala kuzinduliwa kwa reli ya SGR na usafiri huo wa treni ya umeme.
Tumpeni heshima yake huyu Mama ,tuache wivu na chuki binafsi,tuache ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda na jinsia .Mama yetu anastahili kupewa heshima hiyo ya kuchapisha noti zenye sura na picha yake.View attachment 3136898
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Watu kama wewe ndo mnafanya huyo matha aonekane kilaza Mnatumia nguvu nyingi kumpamba lakini hapambiki.Kizuri kinajiuza chenyewe,huna haja ya kupiga zumari ili watu waone.Hicho unachokitaka hakina faida kwa nchi ila ni uchawa tu unakusumbua.Nchi hii imejaa watu wa hovyo kama wewe,kika siku kusifia upumbavu.Ndugu zangu Watanzania,

NimekusameheUnapakatwa wewe jamaa.
Chawa haswa.
Nenda kapimwe MwenyeweLucas Mwashambwa ukapimwe akili lazima una insanity au bipolar disorder
Kweli huna uelewa wa mambo wewe.akili yako bado ndogo sana.Hizi
Watu kama wewe ndo mnafanya huyo matha aonekane kilaza Mnatumia nguvu nyingi kumpamba lakini hapambiki.Kizuri kinajiuza chenyewe,huna haja ya kupiga zumari ili watu waone.Hicho unachokitaka hakina faida kwa nchi ila ni uchawa tu unakusumbua.Nchi hii imejaa watu wa hovyo kama wewe,kika siku kusifia upumbavu.
Kuna muda fulani nimekuambia uwe unaficha upumbavu wako hata kidogo.Kwani Dunia ni Nchi? Mimi nazungumzia Tanzania ambayo ndio nchi na Taifa na wala hakuna Rais au serikali ya DUNIA.
Kwani Tanzania ni Nchi ya Kifalme kama Uarabuni? Picha za watu za nini labda ionyeshe rasilimali zilizopo na si sura za watu. Ila kama ndio tunaenda kifamilia muda utatupatia jibu.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Hii ni katika kuweka historia itakayo dumu na kukumbukwa vizazi na vizazi na kuwa Sehemu ya historia ya Taifa letu. Rais Samia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe ameweka historia ya kipekee kabisa kwa kuwa Mwanamke wa Kwanza kushika nafasi ya Urais hapa Nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Rais Samia ni Mwanamke na Mama aliyelivusha Taifa katika wakati mgumu sana katika Historia ya Taifa letu.ikumbukwe kuwa ameshika Nchi katika kipindi ambacho Uchumi wa Dunia ulikuwa umetikisika kuwahi kushuhudiwa katika Historia ya Dunia ukiachana na ule uliotokea miaka ya 1930-1945 ambao ulisababishwa na mambo mbalimbali kama tunavyojifunza katika Historia.
Rais Samia amepokea nchi wakati Dunia ikishuhudia viwanda vingi vikiwa vimesimamisha uzalishaji ,ukosefu mkubwa wa ajira,mdororo wa kiuchumi kutokana na kupungua kwa shughuli za kiuchumi na uzalishaji,kupanda au mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya petroli na dizeli ambavyo ni injini ya uchumi,kupanda kwa bei ya Mbolea,mzunguko mdogo wa pesa mitaani na mengine mengi sana.
Ambavyo hivyo vyote vilichochewa na ugonjwa wa COVID-19 pamoja na vita vya ukrein.lakini kwa umadhubuti,uhodari, uimara ,ushupavu ,akili kubwa , maono makubwa na Uweza wa mwenyezi Mungu tulishuhudia Mama huyu shupavu na madhubuti akilivusha Taifa kwa kuchukua hatua mbalimbali. kama vile kutoa Ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika nishati ya mafuta,kutoa Ruzuku ya Billion mia mbili hamsini katika mbolea hali iliyoshuhudia bidhaa hizo zikishuka bei.
Ndio Maana tuliona na kushuhudia wakenya wakivuka mpaka na kuingia Tanzania kununua mafuta kutokana na bei kuwa ndogo Nchini ukilinganisha na Nchini kwao.hali ya kiuchumi Nchini ilikuwa nzuri ukilinganisha na nchi yoyote ile hapa barani Afrika.lakini wakati akifanya haya Dunia ilishuhudia Mama huyu aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu akitoa maelfu ya ajira kwa vijana,kujenga miundombinu,kusogeza huduma karibu ya wananchi,kuongeza bajeti katika kila wizara kama ambavyo tuliona katika kilimo kuongeza bajeti kutoka Billion 250 hadi Billion 970.
Tuliona akifanya juhudi kubwa ya kufungua nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuvutia wawekezaji pamoja na watalii kupitia royal tour iliyopelekea ongezeko la watalii kufikia Millioni 1.8 kwa mwaka.tuliona bei ya mazao Kama vile korosho ikipaa bei tena hasa baada ya kufanya ziara rasmi Nchini India na kukutana na makampuni na wafanyabiashara wa korosho.
Hayo na mengine mengi sana yalifanya Taifa na nchi yetu kusalia imara na yenye utulivu wa hali ya juu katikati ya hali mbaya ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima.lakini sisi tukawa katika kisiwa chetu cha utulivu na ustahimilivu wa kiuchumi chini ya Jasusi wa uchumi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Najuwa wenye upeo mdogo wataanza kujadili habari za gharama za kuchapisha pesa hizo,na wengine watasema siyo mahitaji ya watanzania.lakini niwaambieni tu kuwa faida aliyoliletea Taifa letu ni kubwa sana.asingetumia akili tungekuwa tumesambaratika kama Taifa.hali ya umaskini na uchumi ingekuwa mbaya sana hapa nchini.na tusingeona kuendelea kwa miradi mikubwa kama Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kutupatia megawati 2115 wala kuzinduliwa kwa reli ya SGR na usafiri huo wa treni ya umeme.
Tumpeni heshima yake huyu Mama ,tuache wivu na chuki binafsi,tuache ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda na jinsia .Mama yetu anastahili kupewa heshima hiyo ya kuchapisha noti zenye sura na picha yake.View attachment 3136898
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nahama Nchi!Ndugu zangu Watanzania,

Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Lucas Mwashambwa ni Robot siyo binadamu! Hivyo msijibizane na hili lilidude liko programmed kichawa chawa tu!Ndugu zangu Watanzania,

Andiko au pumba na mashudu uchawa sio deal tafuta kazi maisha bila uchawa yanawezekanaMajibu yote la swali lako yapo katika andiko langu ewe mvivu wa akili na upeo mdogo.