Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Ni wakati muafaka BoT kuchapisha Noti zenye picha na sura ya Rais Samia kuweka historia kwa vizazi na vizazi

Kwanini unapenda sana ukabila? Nani na tangia lini ukaambiwa akina Mwashambwa wakawa wandali? Mwashambwa gani uliyemuona hapa Nchini ambaye ni Mndali? Ndio maana nasema wewe huna akili zaidi ya kuropoka ropoka tu hapa kama mlevi wa gongo
Punguza kuandika maandishi ya kitoto toto we ni Mwanaume kujipendekeza kwa Raisi unaonekana bonge la fala na mnafiki huyo Samia uwezo wa kuongoza na kuisimamia hii nchi hana, na yeye hilo analijua ila ni kwa sababu ya katiba tu ndio amekalia hicho kiti.

Una ujinga ujinga mwingi sana, nimeshakwambia ni bora uwe unaandika matukio, kero, changamoto na shida zilizopo kwenye mazingira unayooshi.
Umekalia kuandika ujinga ujinga na unafiki tu halafu tangu umeanza kuandika haya maujinga yako hakuna kilichobadirika.

Ukiona hii movement yako imefeli badili gia Mzee kazi kusifia sifia tu dume zima unakuwa mtu wa hovyo hata Uzalendo wa kweli wewe hauna.

Unafiki wako na uongo wako wa wazi haukufikishi popote.

Mwaka mmoja mbeleni utapakimbia humu. Mjinga namba moja wewe. Una akili ndogo sana na ndio maana umeng'ang'ana na hoja hizo hizo tu.

Huna jipya wewe ni kilaza tu.
 
Huo ndiyo ukweli kwa vile unaendekeza njaa umeamua kujitoa ufahamu
Mimi sina njaa

Naona umepaniki.basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
 
KAZI iendelee na hiyo yako ni kazi mkuu!

Lakini wewe ni hasara Kwa hili taifa aiseh!

Ushauri wa kijijga mno Kwa mwenyekiti!!

Wenye akili wamwambie Kwa maslahi ya chama akae pembeni!!ndio ndio pembeni ili tupate mwelekeo mpya!na hiyo ndio pona yake dhidi ya karma!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa kila jambo na wakati wake na majira yake kwa sababu maalumu.huu ni wakati na muda muafaka kabisa kuchapisha noti zitakazokuwa na picha na sura ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Hii ni katika kuweka historia itakayo dumu na kukumbukwa vizazi na vizazi na kuwa Sehemu ya historia ya Taifa letu. Rais Samia kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu Mwenyewe ameweka historia ya kipekee kabisa kwa kuwa Mwanamke wa Kwanza kushika nafasi ya Urais hapa Nchini na katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Rais Samia ni Mwanamke na Mama aliyelivusha Taifa katika wakati mgumu sana katika Historia ya Taifa letu.ikumbukwe kuwa ameshika Nchi katika kipindi ambacho Uchumi wa Dunia ulikuwa umetikisika kuwahi kushuhudiwa katika Historia ya Dunia ukiachana na ule uliotokea miaka ya 1930-1945 ambao ulisababishwa na mambo mbalimbali kama tunavyojifunza katika Historia.

Rais Samia amepokea nchi wakati Dunia ikishuhudia viwanda vingi vikiwa vimesimamisha uzalishaji ,ukosefu mkubwa wa ajira,mdororo wa kiuchumi kutokana na kupungua kwa shughuli za kiuchumi na uzalishaji,kupanda au mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama vile mafuta ya petroli na dizeli ambavyo ni injini ya uchumi,kupanda kwa bei ya Mbolea,mzunguko mdogo wa pesa mitaani na mengine mengi sana.

Ambavyo hivyo vyote vilichochewa na ugonjwa wa COVID-19 pamoja na vita vya ukrein.lakini kwa umadhubuti,uhodari, uimara ,ushupavu ,akili kubwa , maono makubwa na Uweza wa mwenyezi Mungu tulishuhudia Mama huyu shupavu na madhubuti akilivusha Taifa kwa kuchukua hatua mbalimbali. kama vile kutoa Ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika nishati ya mafuta,kutoa Ruzuku ya Billion mia mbili hamsini katika mbolea hali iliyoshuhudia bidhaa hizo zikishuka bei.

Ndio Maana tuliona na kushuhudia wakenya wakivuka mpaka na kuingia Tanzania kununua mafuta kutokana na bei kuwa ndogo Nchini ukilinganisha na Nchini kwao.hali ya kiuchumi Nchini ilikuwa nzuri ukilinganisha na nchi yoyote ile hapa barani Afrika.lakini wakati akifanya haya Dunia ilishuhudia Mama huyu aliyeinuliwa na kupewa kibali na Mungu akitoa maelfu ya ajira kwa vijana,kujenga miundombinu,kusogeza huduma karibu ya wananchi,kuongeza bajeti katika kila wizara kama ambavyo tuliona katika kilimo kuongeza bajeti kutoka Billion 250 hadi Billion 970.

Tuliona akifanya juhudi kubwa ya kufungua nchi yetu ikiwa ni pamoja na kuvutia wawekezaji pamoja na watalii kupitia royal tour iliyopelekea ongezeko la watalii kufikia Millioni 1.8 kwa mwaka.tuliona bei ya mazao Kama vile korosho ikipaa bei tena hasa baada ya kufanya ziara rasmi Nchini India na kukutana na makampuni na wafanyabiashara wa korosho.

Hayo na mengine mengi sana yalifanya Taifa na nchi yetu kusalia imara na yenye utulivu wa hali ya juu katikati ya hali mbaya ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima.lakini sisi tukawa katika kisiwa chetu cha utulivu na ustahimilivu wa kiuchumi chini ya Jasusi wa uchumi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Najuwa wenye upeo mdogo wataanza kujadili habari za gharama za kuchapisha pesa hizo,na wengine watasema siyo mahitaji ya watanzania.lakini niwaambieni tu kuwa faida aliyoliletea Taifa letu ni kubwa sana.asingetumia akili tungekuwa tumesambaratika kama Taifa.hali ya umaskini na uchumi ingekuwa mbaya sana hapa nchini.na tusingeona kuendelea kwa miradi mikubwa kama Bwawa la Mwalimu Nyerere lenye kutupatia megawati 2115 wala kuzinduliwa kwa reli ya SGR na usafiri huo wa treni ya umeme.

Tumpeni heshima yake huyu Mama ,tuache wivu na chuki binafsi,tuache ubaguzi kwa misingi ya Udini,ukabila,ukanda na jinsia .Mama yetu anastahili kupewa heshima hiyo ya kuchapisha noti zenye sura na picha yake.View attachment 3136898

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwanini isiendelee kuwepo sura ya Rais wa kwanza muasisi wa Taifa, shida nini?
 
KAZI iendelee na hiyo yako ni kazi mkuu!

Lakini wewe ni hasara Kwa hili taifa aiseh!

Ushauri wa kijijga mno Kwa mwenyekiti!!

Wenye akili wamwambie Kwa maslahi ya chama akae pembeni!!ndio ndio pembeni ili tupate mwelekeo mpya!na hiyo ndio pona yake dhidi ya karma!
Peleka ujinga wako huko kwa wenzako.
 
Back
Top Bottom