6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
Ushaona wapi nyumbu anampangia style ya maisha boss wake?Akili za mpumbavu utaziona bila chenga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushaona wapi nyumbu anampangia style ya maisha boss wake?Akili za mpumbavu utaziona bila chenga!
Nimemdharau sn huyu mazaKwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof. Juma akiamuru mahakama kutopingana na serikali vilevile tumemsikia Spika wa Bunge akisisitiza utiifu wake hoja zote za serikali, hivyo tusitegemee hata mara moja vyombo hivi viwili vya dola kutenda haki pindi serikali inapovunja katiba na sheria.
Bunge na Mahakama kwa sasa ni vyombo vya serikali kwa manufaa ya serikali. Hakuna tena mihimili mitatu ya dola bali kuna muhimili mmoja wa serikali.
Kwa hiyo nashauri Mbowe kuachana kabisa na mazungumzo na Samia na serikali yake kwa sababu hakuna kitakachoafikiwa kutekelezwa. Kinachofanywa na Rais kwa sasa ni kuonyesha unafiki wake kuwa ana nia njema ili serikali yake iendelee kupata uungwaji mkono na kupata misaada ya kimataifa katika kuiendesha. Mbowe atambue kwamba hata kufutiwa kwake mashtaka ya ugaidi ni mbinu ya Samia kujikosha mbele ya mataifa ya kigeni.
Samia anapenda sana kutalii nje ya nchi hivyo ili kupunguza kelele za madai ya utawala wa sheria, demokrasia na katiba mpya awapo kwenye utalii wake ambapo amepanga kutembelea nchi nyingi, kete yake kubwa ilikuwa kumwachia huru Mbowe!
Serikali ya Samia bado inaendeleza udikteta na kamwe haitaacha sera za ukandamizaji za mtangulizi wake Dikteta Magufuli!
hatari snNakumbuka juzi kati nilikwenda kwa rafiki yangu kufika kwake nikashangaa kukuta mbwa wa rafiki yang akijaribu kumdhibiti mwenye mbwa ambae ndio rafiki angu 😂😂😂🤣, oh samahani nipo nje ya mada. Sasa mleta mada unatakiwa uelewe kuwa mwenyekiti wa chama ndio mwenye maamuzi ya mwisho, hakuna chawa wala mtu yeyote mwenye uwezo au mamlaka ya kumpangia. Mleta mada kama unaona mambo yako hayakuendei huku chamani basi kaanzishe chako au ujiunge na act wazalendo.
Akili za panzi!Ushaona wapi nyumbu anampangia style ya maisha boss wake?
Kwa hiyo nashauri Mbowe kuachana kabisa na mazungumzo na Samia na serikali yake kwa sababu hakuna kitakachoafikiwa kutekelezwa. Kinachofanywa na Rais kwa sasa ni kuonyesha unafiki wake kuwa ana nia njema ili serikali yake iendelee kupata uungwaji mkono na kupata misaada ya kimataifa katika kuiendesha. Mbowe atambue kwamba hata kufutiwa kwake mashtaka ya ugaidi ni mbinu ya Samia kujikosha mbele ya mataifa ya kigeni.
Samia anapenda sana kutalii nje ya nchi hivyo ili kupunguza kelele za madai ya utawala wa sheria, demokrasia na katiba mpya awapo kwenye utalii wake ambapo amepanga kutembelea nchi nyingi, kete yake kubwa ilikuwa kumwachia huru Mbowe!
Serikali ya Samia bado inaendeleza udikteta na kamwe haitaacha sera za ukandamizaji za mtangulizi wake Dikteta Magufuli!
Huu siyo ushauri Bora kwa Mh Freeman Mbowe.Kwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof. Juma akiamuru mahakama kutopingana na serikali vilevile tumemsikia Spika wa Bunge akisisitiza utiifu wake hoja zote za serikali, hivyo tusitegemee hata mara moja vyombo hivi viwili vya dola kutenda haki pindi serikali inapovunja katiba na sheria.
Bunge na Mahakama kwa sasa ni vyombo vya serikali kwa manufaa ya serikali. Hakuna tena mihimili mitatu ya dola bali kuna muhimili mmoja wa serikali.
Kwa hiyo nashauri Mbowe kuachana kabisa na mazungumzo na Samia na serikali yake kwa sababu hakuna kitakachoafikiwa kutekelezwa. Kinachofanywa na Rais kwa sasa ni kuonyesha unafiki wake kuwa ana nia njema ili serikali yake iendelee kupata uungwaji mkono na kupata misaada ya kimataifa katika kuiendesha. Mbowe atambue kwamba hata kufutiwa kwake mashtaka ya ugaidi ni mbinu ya Samia kujikosha mbele ya mataifa ya kigeni.
Samia anapenda sana kutalii nje ya nchi hivyo ili kupunguza kelele za madai ya utawala wa sheria, demokrasia na katiba mpya awapo kwenye utalii wake ambapo amepanga kutembelea nchi nyingi, kete yake kubwa ilikuwa kumwachia huru Mbowe!
Serikali ya Samia bado inaendeleza udikteta na kamwe haitaacha sera za ukandamizaji za mtangulizi wake Dikteta Magufuli!
Tatizo usipokwenda watasema tuliwaita kwenye mazungumzo halafu hawakuja, kelele zitaanzia hapo.Katika watu ambao hawakufurahishwa wala kuunga mkono ziara za Mbowe ikulu, mimi ni mmojawapo. Nilijua fika Samia anamtumia Mbowe kama kinga ya utawala wake wa kihuni. Nilifika mahali pa kusema kuwa Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwani ameshachoka. Ccm hawataki muafaka, bali wanataka kuogopwa kwa kukaa madarakani bila ridhaa ya umma. CDM kuendelea kumtegemea Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni kosa kubwa la kiufundi.
Kwa sera hizi za kuomba omba misaada ili Samia aweze kufanikiwa sharti asimamie utawala wa sheria. Kama na hili hufahamu basi utakuwa chawa!"Kinachofanywa na Rais kwa sasa ni kuonyesha unafiki wake kuwa ana nia njema ili serikali yake iendelee kupata uungwaji mkono na kupata misaada ya kimataifa katika kuiendesha."
Kauli ya kitumwa kabisa kabisa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania anapaswa kufanya kile kilicho sahihi kwa watanzania na kinachoungwa mkono na watanzania. Kwamba anafanya vitu ili aungwe mkono sijui na nani kutoka nje nafikiri ni mawazo ya wapinzani pinzani ambao upinzania wao, na pengine uanzilishi wa vyama vyao ulilenga kukidhi matakwa ya hao watu wa nje. Ndo maana pengine hata siasa za hao wanasiasa ni za performance tu, kuigiza tu kwamba mpo kwenye ushindani wa kisiasa but kimsingi ni kutetea maslahi binafsi. Mtachelewa sana kuelewa watanzania wanataka nini.
Dogs Covid-19. Sad for Mr. Mbowe.Nakumbuka juzi kati nilikwenda kwa rafiki yangu kufika kwake nikashangaa kukuta mbwa wa rafiki yang akijaribu kumdhibiti mwenye mbwa ambae ndio rafiki angu 😂😂😂🤣, oh samahani nipo nje ya mada. Sasa mleta mada unatakiwa uelewe kuwa mwenyekiti wa chama ndio mwenye maamuzi ya mwisho, hakuna chawa wala mtu yeyote mwenye uwezo au mamlaka ya kumpangia. Mleta mada kama unaona mambo yako hayakuendei huku chamani basi kaanzishe chako au ujiunge na act wazalendo.
Dogs?Dogs Covid-19. Sad for Mr. Mbowe.
Ukinifuatilia utagundua kuwa mimi siyo fan wa falsafa ya Samia. Simchukii yeye binafsi kama mama au kama mtu ila sipendi mambo yake ya ukikwete, ya kuiendesha nchi kiutegemezi na kiuwakala.Kwa sera hizi za kuomba omba misaada ili Samia aweze kufanikiwa sharti asimamie utawala wa sheria. Kama na hili hufahamu basi utakuwa chawa!
Ingekuwa vema sana kama hayo maswali yako kuntu kabisa ungeyaelekeza kwa Samia mwenyewe kwa kuwa ni yeye anayejitapa na kushangilia kufanikiwa kupata mikopo!Ukinifuatilia utagundua kuwa mimi siyo fan wa falsafa ya Samia. Simchukii yeye binafsi kama mama au kama mtu ila sipendi mambo yake ya ukikwete, ya kuiendesha nchi kiutegemezi na kiuwakala.
Afu bado unazidi kudhihirisha mentality za kitumwa tumwa tu. Hivi kuna sifa gani katika kupata misaada kana kwamba kiongozi wa nchi kama alivyo Samia inambidi au inampasa aonekane kufuata misingi ya sheria za nchi yetu? Hivi Samia anawajibika kwa wanaompa msaada au anawajibika kwa wapiga kura wake? Embu jipe muda uone ubovu wa fikra hizo: atakuwa rais wa ajabu sana kusimama mbele za watu na kujitapa kwamba amefanikiwa kukusanya misaada huku na kule kwa sababu amefanikiwa kusimamia utawala wa sheria. Ni kujaribu kusema kwamba Tanzania si nchi huru na kwamba usimamizi wa sheria zetu ni kwa ajili ya kuwafurahisha watu wengine zaidi ya watanzania.
Tuendelee na ubabe Kama wa Magufuli aliyeiba uchaguzi kishamba Hadi akasahau kuwa wabunge wa upinzani Ni muhimu kwa masirahi ya serikaliWajinga nyie, chama tawala hakina ulazima wa kukutana na Cha upinzani, ni Siasa za kistaarabu za Samia tu
CDM kwa sasa hawana ajendaKatika watu ambao hawakufurahishwa wala kuunga mkono ziara za Mbowe ikulu, mimi ni mmojawapo. Nilijua fika Samia anamtumia Mbowe kama kinga ya utawala wake wa kihuni.
Nilifika mahali pa kusema kuwa Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa cdm kwani ameshachoka. Ccm hawataki muafaka, bali wanataka kuogopwa kwa kukaa madarakani bila ridhaa ya umma. CDM kuendelea kumtegemea Mbowe kama mwenyekiti wa chama ni kosa kubwa la kiufundi.
Sawasawa. Na hata hiyo dhana inayojengeka kwamba ule unaoonekana kama "usoft" wa Samia kwa wanasiasa wa upinzani ni facade ya kuwadanganyia kule anakoomba misaada lazima ikustue ukiwa mtanzania wa kawaida. Sidhani kama ni afya, si kwa upinzani na si kwa Samia mwenyewe, kujenga taswira kwamba uhusiano wa vyama vya siasa nchini unajengwa kwa misingi ya ili kukubalika ugenini. Vyama vya siasa vinawajibika ( au vinapaswa kuwajibika) kwa watanzania na watanzania peke yake. Haviwajibiki kwa mreno, wala mjerumani wala kwa mwarabu au kwa watu gani huko wa sayari fulani....Ingekuwa vema sana kama hayo maswali yako kuntu kabisa ungeyaelekeza kwa Samia mwenyewe kwa kuwa ni yeye anayejitapa na kushangilia kufanikiwa kupata mikopo!
Mawazo ya kitumwa anayo yeye kwa kupenda pesa bila jasho! Nadhani hii ni tabia ya wanawake wengi!
Inaelekea hata maana ya ajenda hujui! Umekaririshwa kuwa kuna neno ajenda hutumika kwenye siasa. Niambie ajenda ya CCM!CDM kwa sasa hawana ajenda