Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi


Nenda tu. Na mlango usiufunge ukishatoka ili na wengine wenye mawazo kama yako wakufuate. Ila kama una imani na Lissu ungebaki ili uhakikisha anashinda. Kwa kukimbia inaonyesha huna imani kuwa mtu wako anaweza kushinda.

Amandla...
 
Mbowe kafanya nini tena? Demokrasia ni kugombea
Demokrasia ni kuchagua
Demokrasia ni kuchaguliwa
Demokrasia ni kupiga kura na kumchagua umpendaye.
Othewise wewe ni mamluki
 
Wasalimie
 
Mbowe kafanya nini tena? Demokrasia ni kugombea
Demokrasia ni kuchagua
Demokrasia ni kuchaguliwa
Demokrasia ni kupiga kura na kumchagua umpendaye.
Othewise wewe ni mamluki
Subiri vituko vya huo uchaguzi ndio utanielewa kama una fikiri kutakuwa na uchaguzi huru na wa haki.

State machinery zitahusika na hela itatembea sana.
 
Kama ni hivi CCM wataendelea kutuchezea sana, anakuja mmoja kama Kikwete anatulegezea Demokrasia tunajiona tumefanya progress, halafu wanatuletea mwingine kama Magufuli anatuvuruga halafu in between kanakuja kamama kanasema tufanye maridhiano this game will go on forever..

Kwa siasa hizi anazosema Mbowe CCM itakaa madarakani forever labda itokee miujiza au kwa pressure ya mtutu au civil disobedience.

Kwa hizi siasa za Mbowe tutakuwa tu wasindikizaji tu labda Tundu Lissu ashinde.
 
Unamtangazia nani?

Nenda ukalime sasa,achana na siasa
 
Kura zinapigwa na machawa wake akina Boni Yai, Wenge, Yericko Nyenyere na Devota Minja, Ntobi, n.k. Unategemea nini?
Kama kamati kuu ina watu wake kwa zaidi ya 50% hakuna namna anaweza kutoka isipokuwa katiba ibadilishwe au aamue kuachia nafasi hiyo kwa utashi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…