Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Kagera ACP William Mwampaghale

A rescue mission got under way after a passenger plane crash landed in Lake Victoria, Tanzania, near the north-western city of Bukoba. The plane could be seen submerged in the lake as rescuers attempted to haul it out, saving people trapped inside. William Mwampaghale, the police commander in the Kagera province, said 'when the aircraft was about 100 metres midair, it encountered problems and bad weather' Rescue operation under way after plane crashes into Lake Victoria
 
06 November 2022
Bukoba, Tanzania

ACP William Mwampaghale atoa taarifa kwa umma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera kamishina msaidizi wa Polisi ACP William Mwampaghale amesema ni kweli tukio la ajali ya ndenge limetokea muda wa saa 8:35 asubuhi ambapo amebainisha kuwa zoezi la uokozi linaendelea na kuwaomba wananchi kuwa watulivu wakati vyombo vya ulinzi na usalama vikiendelea na zoezi la ukoaji.

Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amewambia waandishi wa habari kuwa tayari vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko kazini na mamlaka za juu tayari zimeshajulishwa juu ya tukio hilo.
Source : Star TV Habari
 
Huna akili ya kupendekeza chochote
Endelea na ujinga wako wa kuwasema Samia, Makamba, Nape na Mwigulu na kumpigia debe Luhaga mpiga sukuma gang mwenzako. Mada ya namna hii ni kubwa na nzito sana kwenu sukuma gang
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana

Taasisi zote za umma zinafanya kazi kwa uduni mkubwa. Hilo jeshi la maji ni Sehemu tu udhaifu wa taasisi karibia zote za umma. Hizo shughuli wakipewa makampuni binafsi utaona huduma zitaboreka.

Tunapotaka kuwa na katiba mpya, ni pamoja na kuhakikisha kila taasisi ya umma inafanya wajibu wake kwa viwango. Cha kushangaza ingetokea wapinzani wanaandamana askari wangetokea wengi na vifaa wangekuwa navyo. Unapokuwa na jeshi ambalo ubora wake ni kupambana na wapinzani wasio na silaha, na kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani hayo ndio matatizo yake.
 
utopolo kila sehemu nchii ya guatemalata, ndege inavutwa kwa kamba duuh hahahaaaa.....pole nchi ya mazuzu, wanamikopo wana madeni,
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Nimeishia kusoma hapa:
''Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi".

Hivi unaijua Bei ya Manowari (Warship)? Au unajiripokea tu?

Unaijua Bei ya Nyambizi (Submarine) au unajiripokea tu?

Kwa kukupa taarifa tu,Hakuna nchi kubwa miongoni mwa ulizozitaja (Marekani,China,UK na Jerman) wako tayari kuiuzia Tanzania Nyambizi au Manowari hata Kama tukienda na Cash mkononi.

Wazo lako Ni zuri lakini nakili kwamba haufuatilii jinsi Mambo yanavyokwenda duniani.

Tangu Mwaka 2016,Ufilipino ililipia ndege 16 aina ya Ka-52 kutoka Urusi na kutoa $ 227m lakini mpaka leo hawajapewa hata ndege moja.

Vifaa vya kijeshi hata Sensitive Kama hivyo Mataifa makubwa huuzia washirika wao kijeshi ambao mda wote hawawezi kugeukana. Sasa nchi masikini Kama Tanzania itauziwa Nyambizi au Manowari?
 
Wanajeshi waki buse kuvunha tofari, Jeshi letu ni out dated sana, huko walisha ondoka wenzetu, Vuta kwa sasa ni techinolojia na wala sio wingi wa wanajeshi na wavunja tofali
 
Show offs hazitusaidii chochote tunatakiwa kujikita sasa katika kuviimarisha vyombo vyetu kiuwezo hasa kwenye vifaa, ujuzi na teknolojia huu ujinga mwingine hautusaidii kabisa
 
Nimeishia kusoma hapa:
''Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi".

Hivi unaijua Bei ya Manowari (Warship)? Au unajiripokea tu?

Unaijua Bei ya Nyambizi (Submarine) au unajiripokea tu?

Kwa kukupa taarifa tu,Hakuna nchi kubwa miongoni mwa ulizozitaja (Marekani,China,UK na Jerman) wako tayari kuiuzia Tanzania Nyambizi au Manowari hata Kama tukienda na Cash mkononi.

Wazo lako Ni zuri lakini nakili kwamba haufuatilii jinsi Mambo yanavyokwenda duniani.

Tangu Mwaka 2016,Ufilipino ililipia ndege 16 aina ya Ka-52 kutoka Urusi na kutoa $ 227m lakini mpaka leo hawajapewa hata ndege moja.

Vifaa vya kijeshi hata Sensitive Kama hivyo Mataifa makubwa huuzia washirika wao kijeshi ambao mda wote hawawezi kugeukana. Sasa nchi masikini Kama Tanzania itauziwa Nyambizi au Manowari?
Kama hujui hadi drug cartes wa marekani ya kusini wanamiliki nyambizi wanazotumia kusafirishia mihadarati .

Kuna nyambizi nzuri sa kisasa tunaweza kumiliki kama nchi kwa usalama wetu wa maslahi yetu hata sio bei

Manowari u azosema wewe ni za kubeba ndege nyingi au aircraft carries. Mimi nasemea manowari za kawaida tu ambazo nchi nyingi hata Nigeria tu wanazo zina capacity za kawaida kama kubeba helicopter 1 au mbili. Tukowq serious tunazinunua bila shida kabisa
 
Hata adui zetu kama wameangalia namna tulivyofanya uokoaji wa ndege leo nadhani kama walikuwa wanasema watuvamie mwaka 2050 basi saivi wanaweza hata kudhani watumie kesho maana tumeonyesha dunia kwa mara nyingine tulivyo na vyombo duni na dhaifu ambavyo haviwezi kuaddress hata emergency situations kama zile
Taasisi zote za umma zinafanya kazi kwa uduni mkubwa. Hilo jeshi la maji ni Sehemu tu udhaifu wa taasisi karibia zote za umma. Hizo shughuli wakipewa makampuni binafsi utaona huduma zitaboreka.

Tunapotaka kuwa na katiba mpya, ni pamoja na kuhakikisha kila taasisi ya umma inafanya wajibu wake kwa viwango. Cha kushangaza ingetokea wapinzani wanaandamana askari wangetokea wengi na vifaa wangekuwa navyo. Unapokuwa na jeshi ambalo ubora wake ni kupambana na wapinzani wasio na silaha, na kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani hayo ndio matatizo yake.
 
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa

Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba

Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa

Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji

Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi

2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya

Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Asante mkuu, kiukweli majeshi yetu yanatia shaka sana, na hii inaonyesha serikali imejisahau kwenye Hilo eneo kwa sababu ya amani,
Haiwezekani Kambi za jeshi zilizoko karibu na ziwa zikose vifaa vya uokozi wa majini, hadi wannanchi watumie kamba
Huu ni udhaifu to mkubwa sana na aibu Kwa jeshi la majini na zimamoto na serikali kwa ujumla
hatua za haraka zichukuliwe kulinisuru jeshi
 
Wanakuambia hizo ajali hazitokei kila siku... Ila ma V8 yao yanatembelewa kila siku...
 
07C158C5-60BD-4DC3-AD9E-C3E45D6EE7D6.jpeg
 
Kungekuwa na quick response within 15 minutes nina uhakika leo tusingekuwa na vifo. Kwa enjoy ndege iliangukia vikosi vyetu vingekuwa vizuri kwenye vifaa, teknolojia na ujuzi ile ndege kila mtu angepona
Asante mkuu, kiukweli majeshi yetu yanatia shaka sana, na hii inaonyesha serikali imejisahau kwenye Hilo eneo kwa sababu ya amani,
Haiwezekani Kambi za jeshi zilizoko karibu na ziwa zikose vifaa vya uokozi wa majini, hadi wannanchi watumie kamba
Huu ni udhaifu to mkubwa sana na aibu Kwa jeshi la majini na zimamoto na serikali kwa ujumla
hatua za haraka zichukuliwe kulinisuru jeshi
 
Asante mkuu, kiukweli majeshi yetu yanatia shaka sana, na hii inaonyesha serikali imejisahau kwenye Hilo eneo kwa sababu ya amani,
Haiwezekani Kambi za jeshi zilizoko karibu na ziwa zikose vifaa vya uokozi wa majini, hadi wannanchi watumie kamba
Huu ni udhaifu to mkubwa sana na aibu Kwa jeshi la majini na zimamoto na serikali kwa ujumla
hatua za haraka zichukuliwe kulinisuru jeshi
Ni aibu hatuna navy Tanzania tuna vituko tu
 
Watanzania tumeshalemazwa akili na wanasiasa.

Kila jambo tunataka tufanyiwe na watu wengine.

Mleta mada ni mfano mzuri.
Wewe ni punguani, jitahidi kutumia akili sio ulete ushabiki wa kipumbuvu hapa,
So ulitaka wananchi wanunue vifaa vya uokozi ?
Serikali na majeshi inawajibika Kwa hili kwa kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake, vifaa duni na mbinu za kizamani
Alafu wanatuambia et uchinguzi unafanyika kila baada ya ajali
lnasaidia Nini wafiwa
 
Back
Top Bottom