Endelea na ujinga wako wa kuwasema Samia, Makamba, Nape na Mwigulu na kumpigia debe Luhaga mpiga sukuma gang mwenzako. Mada ya namna hii ni kubwa na nzito sana kwenu sukuma gangHuna akili ya kupendekeza chochote
Una matatizo ya akiliEndelea na ujinga wako wa kuwasema Samia, Makamba, Nape na Mwigulu na kumpigia debe Luhaga mpiga sukuma gang mwenzako. Mada ya namna hii ni kubwa na nzito sana kwenu sukuma gang
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
utopolo kila sehemu nchii ya guatemalata, ndege inavutwa kwa kamba duuh hahahaaaa.....pole nchi ya mazuzu, wanamikopo wana madeni,Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Nimeishia kusoma hapa:Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Wanajeshi waki buse kuvunha tofari, Jeshi letu ni out dated sana, huko walisha ondoka wenzetu, Vuta kwa sasa ni techinolojia na wala sio wingi wa wanajeshi na wavunja tofaliKipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Show offs hazitusaidii chochote tunatakiwa kujikita sasa katika kuviimarisha vyombo vyetu kiuwezo hasa kwenye vifaa, ujuzi na teknolojia huu ujinga mwingine hautusaidii kabisaWanajeshi waki buse kuvunha tofari, Jeshi letu ni out dated sana, huko walisha ondoka wenzetu, Vuta kwa sasa ni techinolojia na wala sio wingi wa wanajeshi na wavunja tofali
Kama hujui hadi drug cartes wa marekani ya kusini wanamiliki nyambizi wanazotumia kusafirishia mihadarati .Nimeishia kusoma hapa:
''Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi".
Hivi unaijua Bei ya Manowari (Warship)? Au unajiripokea tu?
Unaijua Bei ya Nyambizi (Submarine) au unajiripokea tu?
Kwa kukupa taarifa tu,Hakuna nchi kubwa miongoni mwa ulizozitaja (Marekani,China,UK na Jerman) wako tayari kuiuzia Tanzania Nyambizi au Manowari hata Kama tukienda na Cash mkononi.
Wazo lako Ni zuri lakini nakili kwamba haufuatilii jinsi Mambo yanavyokwenda duniani.
Tangu Mwaka 2016,Ufilipino ililipia ndege 16 aina ya Ka-52 kutoka Urusi na kutoa $ 227m lakini mpaka leo hawajapewa hata ndege moja.
Vifaa vya kijeshi hata Sensitive Kama hivyo Mataifa makubwa huuzia washirika wao kijeshi ambao mda wote hawawezi kugeukana. Sasa nchi masikini Kama Tanzania itauziwa Nyambizi au Manowari?
Taasisi zote za umma zinafanya kazi kwa uduni mkubwa. Hilo jeshi la maji ni Sehemu tu udhaifu wa taasisi karibia zote za umma. Hizo shughuli wakipewa makampuni binafsi utaona huduma zitaboreka.
Tunapotaka kuwa na katiba mpya, ni pamoja na kuhakikisha kila taasisi ya umma inafanya wajibu wake kwa viwango. Cha kushangaza ingetokea wapinzani wanaandamana askari wangetokea wengi na vifaa wangekuwa navyo. Unapokuwa na jeshi ambalo ubora wake ni kupambana na wapinzani wasio na silaha, na kuhakikisha chama tawala kinabaki madarakani hayo ndio matatizo yake.
Asante mkuu, kiukweli majeshi yetu yanatia shaka sana, na hii inaonyesha serikali imejisahau kwenye Hilo eneo kwa sababu ya amani,Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Tunanunua V8 kama hatuna akili nzuri. Kwenye majanga tuna team isiyo na vifaa.Sio tu jwtz, hapo hadi polisi na zima moto na uokoaji, askari wote wanatakiwa wapewe vifaa na mafunzo ya uokoaji
Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa
Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba
Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo la uwezo wa vifaa na teknolojia ya kisasa kabisa. Bila juhudi za wananchi kwenye mazingira haya ni ukweli usiopingika kuwa hata kwenye ndege ya Precision leo wananchi wengi wangekufa
Ingawa mambo ya Ulinzi na Usalama ni masuala nyeti sana ila napendekeza sasa kuwe na complete reforms kwenye jeshi letu la wananchi kamandi ya wanamaji
Mambo yafuatayo yafanywe
1. Tuingie makubaliano na moja ya Taifa kubwa kati ya haya( Marekani, China, Uingereza au Ujerumani) na tuwape mkataba wa kuliwezesha Jeshi letu kivifaa na kiteknolojia bila kusahau ujuzi. Tununue meli za kutosha na both za kutosha za kisasa bila kusahau manowali na nyambizi ziwekwe kufanya kazi kwenye maziwa yote kuanzia Nyasa, Tanganyika, Victoria na Bahari ya Hindi
2. Tanzania kutengeneza karakana yetu ya kutengeneza meli za kivita na za kijeshi kama ilivyo kwa Kenya
Tusipofanya haya sasa yajayo yanasikitisha sana
Asante mkuu, kiukweli majeshi yetu yanatia shaka sana, na hii inaonyesha serikali imejisahau kwenye Hilo eneo kwa sababu ya amani,
Haiwezekani Kambi za jeshi zilizoko karibu na ziwa zikose vifaa vya uokozi wa majini, hadi wannanchi watumie kamba
Huu ni udhaifu to mkubwa sana na aibu Kwa jeshi la majini na zimamoto na serikali kwa ujumla
hatua za haraka zichukuliwe kulinisuru jeshi
Ni aibu hatuna navy Tanzania tuna vituko tuAsante mkuu, kiukweli majeshi yetu yanatia shaka sana, na hii inaonyesha serikali imejisahau kwenye Hilo eneo kwa sababu ya amani,
Haiwezekani Kambi za jeshi zilizoko karibu na ziwa zikose vifaa vya uokozi wa majini, hadi wannanchi watumie kamba
Huu ni udhaifu to mkubwa sana na aibu Kwa jeshi la majini na zimamoto na serikali kwa ujumla
hatua za haraka zichukuliwe kulinisuru jeshi
Wewe ni punguani, jitahidi kutumia akili sio ulete ushabiki wa kipumbuvu hapa,Watanzania tumeshalemazwa akili na wanasiasa.
Kila jambo tunataka tufanyiwe na watu wengine.
Mleta mada ni mfano mzuri.