Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

Wewe mjinga umenielewa lakini.

Au unahara tu bila kuelewa.
 
Wewe mjinga umenielewa lakini.

Au unahara tu bila kuelewa.
Nyie jikiteni na promo za kina luhaga mpina na kalemani na kuwasema kina January, Nape na Mwigulu hizi mada nyingine ni kubwa sana kwa akili zenu za kutafuta panzi hizo
 
Mama ameiboresha Kamandi yetu ya Wapiga maji wa Balimi kwa kuindolea kodi hayo mengine mtajua hamjui.
 
Nyie jikiteni na promo za kina luhaga mpina na kalemani na kuwasema kina January, Nape na Mwigulu hizi mada nyingine ni kubwa sana kwa akili zenu za kutafuta panzi hizo
Sasa huu ushuzi ulioandika hapa nao unaita akili kubwa??
 
Mama ameiboresha Kamandi yetu ya Wapiga maji wa Balimi kwa kuindolea kodi hayo mengine mtajua hamjui.
Hayo siyo maboresho. Maboresho ni kununua vifaa Virginia vya kisasa na bora kama melivita, boti za kujeshi na nyambizi na kuwawezesha kiujuzi na mafunzo
 
Hatujafika huko ingawa tukio la leo limelitia aibu sana Taifa letu
Si mara ya kwanza nadhani mnakumbuka yaliyotokea kule Nungwi , ile meli iliyozama pale ukerewe mwaka juzi ,huo ni mfano tu wa failures na incidences ambazo zinaonyesha jinsi uzembe ulivyomkubwa
 
Leo inaendelea kudhihirika kwamba mipango yetu mingi ni Up for the show ku shawishi wafadhili. Yaani kama ile ya Bi mkubwa kuchanja korona mbele ya tv ilikuwa up for a show.
 
Tatizo wapiga dili ni wengi
Halafu wanaiba hawafanywi chochote
 
Engineer na mtaalamu wa majanga na uokozi James Mbatia azungumzia utayari na uwezo wa kukabiliana na majanga

Utashi wa kisiasa kujitayarisha kukabiliana na majanga haupo ingawa awamu ya Jakaya Kikwete (disaster and management act 2015 )iliandaa mazingira ya kisheria na kifedha lakini awamu ya tano ya JPM iliitelekeza kwa kisingizio kuwa siyo kipaumbele ..

Vyombo vya habari vipo vipo havi...

This act sets out a comprehensive legal framework for disaster risk management. It provides for the establishment of Tanzania Disaster Management Agency (TDMA), which is the national focal point for coordination of disaster risk reduction and management in the country.

PW - Homepage › ta...

Tanzania: The Disaster Management Act, 2015

 
At least huyu alitumia elimu yake kujaribu kuleta kitu
 
06 November 2022

RC Albert Chalamila ataja majina wahanga walionusurika na waliopoteza maisha katika ajali ya ndege ziwa Victoria


Source : Global TV online
 
Abiria Richard Komba aliyeokoka ktk ajali ya PrecisionAir azungumzia hali nzima ya safari, hali ya hewa ilivyokuwa mbaya, rubani kuzungusha ndege ili kupata mwanya wa hali ya hewa nzuri apate kutua hadi ajali na jinsi wavuvi wa mtumbwi wapiga makasi walivyowasili mapema

Source : Global TV Online
 
Jamii forum is the home of great thinkers. Mtendaji mkuu wa shughuli za serikali za kila siku kaja na tume ya uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…