Tatizo la nchi hii... Wengi walio katika nafasi nyeti za kimaamuzi hawako tayari kufanya kazi kwa ajili ya nchi hii... Ila wanafanya kazi kwa ajili ya matumbo yao na familia zao ndo maana kuna uzembe wa kijinga sana hutokea... Hii hupelekea hata wasio katika nafasi nao kujikatia tamaa na kufanya kazi ktika mtindo huo huo.... Chain inaendelea na kupelekea uzembe mkubwa kwa watendaji wa taifa hili....
Itatuchukua vizazi kadha hadi hili kubadilika kwani walio katika hizo nafasi hawataki kuziachia kiasi kwamba wanaambukiza wa karibu yao kuwa hivyo
Hadi pale mabadiliko ya lazima (vita ama any disaster) itakapotokea