Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

Wanaume tususe kuwa nunua, biashara kwisha....
 
Asante kwa kijitangsza, tutatembelea hayo maeneo kupata mbunyenye za bei rahisi!
 
Viongozi wetu walivyo na akili za kukopa watakimbia huko nako wakabomoe.

Mwisho wa siku mji mzima utaishia kubomolewa.

Suluhisho la kuwafukuza hawa watu sio kuwabomolea makazi yao.

Tatizo la aina hii linaanzia mbali sana.

Kwenye level ya familia. Malezi mabovu lazima tu yalete matokeo mabovu.
 
Hali ya maisha ikiwekwa kwenye viwango ambavyo binadamu anastahili basi hali hii ya hao watu kujiuza itapungua sana na baadae kutoweka kabisa sababu inaweza kupatikana kwa gharama kubwa sana kiasi wanunuaji wakapungua sana labda watabaki wale wanapata 18M kwa mwezi Kama nao ni wateja. Biashara itakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…