Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

hahahahaha komaeni tu
 
Imagine umemwambia bwana ako unaenda halafu haujaenda , na yuko karbu na hizo huduma, ....ila ukiona wapo mahali flani jua kabisa hapo kuna wateja.
 
kino pale ukitokea mnyamla kabla ya kwa robi wani ni mapema tu tena pembeni wanauza ftari afu wao wako kwa mbele kwenye uwanja alooo. Kazi sanaa. Afrika sana kumepoa siku hizi. Ilikuaga sa12 tu jion hata jua halijapotea, wako kama wote. Vita ngumu hii, ukute hata mkuu nae na kelele zile kumbe ni mteja wao tu.
 
Unajua kwa mtaani yani sehemu za makazi ni jambo la aibu sana, unapita na watoto wako au wazazi ni jambo baya sana
Unapita na watoto (wa umri gani?) wako au wazazi usiku wote huo unaenda wapi? Wewe kama wewe ndio unaeona ni jambo baya sana. Wenzio kwao hiyo ni fursa ya kuchagua bidhaa iliyo bora zaidi. 😁 Ni vizuri wewe na wenzako msiohusika piteni njia nyingine ili msibughudhi biashara za watu na nyie pia msikwazike.
 
Serikali i officilize tu tupate na kodi.. wafungiwe meter kwenye vikojoleo ili kujua viwango vyao vya matumizi.
 
Bora hao wameamua kuwa wazi,je hao wengine wanaodanga au kuuza uchi kwa kisingizio Cha mahusiano,uchumba au ndoa!!yaani bila kutoa Hela hupewi gem,bila kumnunulia chocchote hupati kitu kana kwamba hawana hamu ya mapenzi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…