Ni wakati turuhusu New Breed CHADEMA

Umeongea vizuri lakini uliposema hao wang'atuke umeharibu tunawahitaji sana ila tu asiwepo mwenye nia au amesha...............asali. Hao wote Wana uthubutu wa kutusemea yanayoikwaza nchi.
 
Umeongea vizuri lakini uliposema hao wang'atuke umeharibu tunawahitaji sana ila tu asiwepo mwenye nia au amesha...............asali. Hao wote Wana uthubutu wa kutusemea yanayoikwaza nchi.
kung'atuka uongozini sijamaanisha wasiwe wanachama au hata washauri tu, lahashaa..

wamefanya kazi kubwa, nzuri sana na iliyotukuka inatosha, Demokrasia ya Chadema inawashukuru, haina haja kisubiri kuvurumushwa kama mbatia,

ni wakati muafaka sana sasa rika mpya, mawazo mapya, fikra mpya, uelekeo mpya na pumzi mpya kushika hatamu na ichukue nafasi kuelekea mbele 🐒
 

Tatizo lenu mkitishwa mna retract.

Mbowe ajiuzulu mara moja kama Mwenyekiti wa CHADEMA

Kwani kwenye uzi huo uliishia wapi?

Kwamba kukomaa na mnachoamini, ubavu umepatikana sasa?

Kwamba watoke wenyewe labda kama jambazi anaweza kujihukumu kunyongwa!

imhotep au nasema uongo ndugu zangu?
 
CCM anapotoa ushauri ni sawa na shetani kushauri mbinu za kufika mbinguni
 
Umeongea vizuri lakini uliposema hao wang'atuke umeharibu tunawahitaji sana ila tu asiwepo mwenye nia au amesha...............asali. Hao wote Wana uthubutu wa kutusemea yanayoikwaza nchi.

Uzuri ni kuwa aliyelamba asali anajulikana.

COVID-19 hawakaribishwi.

Chawa wote waufyate kama vipi muda wa kuchapana viboko ikibidi ni huu.

Bottom line hakuna kuwaachia chama:

Viva Lissu, Viva! Pamoja nawe ukombozi utapatikana!
 
CCM anapotoa ushauri ni sawa na shetani kushauri mbinu za kufika mbinguni
kaa, baki na kushupaza shingo vizuri zaidi ili ivunjike vizuri na ikiwa inakusaidia kuongeza uelewa na ufahamu jitahidi tu isikupe mihememko 🐒

sorry for confusion 🤣
 
Vijana kwa Tanzania hii unawatoa wapi? Nchi hii tuna uhaba mkubwa wa vijana
 
Aisee! Hata John Mrema siku aliondolewa kwenye nafasi yake aliyoikalia kwa zaidi ya muongo mmoja atahamia ccm.
 
New breed haitasaidia.

Tuwe na vyama vipya tu.

Kama kweli tunadhamiria kuilinda hii nchi ila kama ni yale yale sawa tu, new breed new thieves.
 
Tunashukuru kwa andiko lako
Chadema imeoza sawa na sisiem

Rushwa inalitesa Taifa

Mbio za mwenge wa chadema ni kutupumbaza. Hakuna upinzani ni vikundi vya biashara.

Get rid ya wenye mazoea wasafishe chama.

Lissu Mwenyekiti tuanze naye wengine wote waendee wakalee wajukuu…

Tz ni yetu sote sio ya vijikundi vya watu.

Wale Covid 19 ni baraka za chama anayepimga ajitafakari.
 
CHADEMA inabidi kuruhusu vijana wapya wagombee nafasi kwenye uchaguzi wa 2025.
 
Mbona mtoa mada amemzungumzia nassar, au huyo muda wake haujaisha?

Nassari bado yupo active kwenye siasa. Ni Mkuu wa Wilaya,ila Lowassa alistaafu Siasa na akafariki Dunia.
 
Mlikubali ushindi wa sugu bila kujua pesa zilipotoka
Msigwa aliyehama anaweza asiwe threat kwa chama kuliko sugu aliyebaki. Amepokea rushwa, imemsaidia kuwa kiongozi mkubwa ndani ya chama. Mmekwisha

Hapana. Kwangu Mimi Sugu ni reliable kuliko Msigwa maana Msigwa ananunulika kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…