Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

Nilikuwa kumwambia kiongozi mmoja wa chadema kanda ya pwani, mashinji ataenda ccm wakati huo ni katibu mkuu pale cdm reason nakwambia huyu mashinji ana capability ndogo sasa kisiasa. Mbowe anapenda watu wenye uwezo mdogo km kigaila, salumu mwalimu na hata huyu mrema. Mbowe amefika mwisho.
 
c
Vijana wengi wanapenda mabadiliko, lakini kwa sasa wamekosa CHAMA sahihi , chadema sahihi kipotea, mpaka Mbowe aje atoke, kitu ambacho ni kigumu
Wewe unamtaka Mbowe atoke ili iweje? inakuuma nini, unataka wapewe uenyekiti sampuli ya akina Nassari, Mashinji , Katambi na Mwambe?
 
Hicho chama hakina code ya alizeti
 
Kaa kimya wewe. Acha kuingilia mambo ya familia za watu. Kama humtaki Mrema hamia CHAUSTA.

Punguza ushoga. Familia unaijua au unajibaraguza. Mimi naongelea chama unaniletea mambo ya kuleta watoto na familia very stupid idiot.
 
c
Vijana wengi wanapenda mabadiliko, lakini kwa sasa wamekosa CHAMA sahihi , chadema sahihi kipotea, mpaka Mbowe aje atoke, kitu ambacho ni kigumu

Mbowe anakipoteza chama kabisa. Nadhani anataka akimalize ndio aondoke. Ipo siku tutafanya mapinduzi CHADEMA ili waache ujinga.
 
Wewe unamtaka Mbowe atoke ili iweje? inakuuma nini, unataka wapewe uenyekiti sampuli ya akina Nassari, Mashinji , Katambi na Mwambe?

Mbowe atoke maana uwezo wake umefikia mwisho Hana mbinu mpya kabisa, akisaidiwa na akina Mrema waliochoka
 
Hii nafasi jamaa aone aibu ajitoe tu wala asisubiri kutolewa.

Sijawahi kuona anachofanya.
 
Mbowe atoke maana uwezo wake umefikia mwisho Hana mbinu mpya kabisa, akisaidiwa na akina Mrema waliochoka
Hii nafasi ya uenezi mimi kama mwanachamaa wa kawaida nishailamikia san.

Ulimwengu huu wa digital anatakiw kufanya zaidi ya anavyofanya......hana ubunifu wala hana self motivation.
 
Kwakweli amekera Sana. Anasema kwa kujiamini kwamba CHADEMA hakuna msamiati wa kujitoa. Hawa Viongozi wanafanya mambo ya aibu Sana. Kuna uoga gani kusema tunajitoa hatutashiriki? Uoga unatoka wapi?.
 
Chadema imeshajikatia tamaa

Hapana. Viongozi ndio wanatuangusha. Niliwapa ushauri Kwa kutumia chama Cha RENAMO ila wanepuuzia. Wanalazimsha kushiriki uchaguzi haramu halafu kesho waanze ktupigia kelele tu.eibiwa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…