Katiba na ilani ya chama cha mapinduzi ni kupokezana vijiti kwa mwenyekiti kila baada ya awamu mbili kumalizika pia uchaguzi lazima uwepo KUONESHA mteuliwa anakubalika kwa kiasi/ asilimia ngapi!Unadhani hiyo ndo democracy ndani ya chama chenu???.
Kaitikie power mkuu huelewi Nat huwezi elewa mpaka siku utakayoacha kudeki lamiKumbe umemaanisha tofauti au? Nithibitishie hilo kwanza!!
Umeota? Anzeni kwanza na DAB.Mbowe angekuwa Mtumishi Serikali angeshatumbuliwa kwa vyeti feki maana elimu yake anaijua mwenyewe
Pole sana, kwa uelewa wako mdogo nilijua unaogopa kumuandika baba jesca ukaegemea kwa Mbowe!! Sasa nikuulize Mbowe amekuwa mwenyekiti miaka mingapi? Na je katika kipindi cha uenyekiti wake amegombea urais mara ngapi? Tangu awe mwenyekiti, Chadema imepanda au imeshuka? Hayo maswali matatu utujibie tena kwa umakini.Kwani ni lazima awe mwanachama wa chadema ndo aweze kuchambua masuala ya chadema?
Huna unalo lijua, unaambiwa juzi si mlikuwa mnamfanisha na baba Jesca, leo mnakana? Pole sana, ukajua ndio umeleta hoja, kumbe kihoja.Kaitikie power mkuu huelewi Nat huwezi elewa mpaka siku utakayoacha kudeki lami
Hakuna nchi yeyote duniani upinzani usiodhibitiwa/ usioshughulikiwaMngetumia bunduki na mabomu kuwadhibiti? Si mngewaacha tu wajifie? CCM bila mbeleko ya polisi na NEC hamna kitu na kama unabisha hili basi wewe ni poyoyo tu.
Jibu hoja.Wewe ni mwanachama wa CHADEMA?
Ok show hoja tuanzie hapo Lowasa alipitishwa kwa utaratibu wa kura gani kugombea u rais kupitia chadema?Huna unalo lijua, unaambiwa juzi si mlikuwa mnamfanisha na baba Jesca, leo mnakana? Pole sana, ukajua ndio umeleta hoja, kumbe kihoja.
mbowe kagombea mara ngapi urais? CCM inatawala kwa hila toka mwaka gani?CCM imejifunza kuwa ukomo wa muda wa madaraka kwa vipindi maalum nila msingi sana vp Mbowe kajifunza nn kwa mugabe ambae hakukua na ukomo wa kugombea kama ilivyo chadema?
Mbowe kagombea toka 2004 uenyekiti chadema CCM inapewa rid has na wananchi toka uchaguzi wa vyama vigil 1995 hebu tueleze katika chaguzi toka 1995 up in zaniness lini wamewazidi CCM wenyeviti wa vitongoji nchi nzima wamezidi wenyevit wa vijiji nchi nzima wamezidi madiwani nchi nzima takin yaw tathmin kwa hayo tutajua kweli wana hilambowe kagombea mara ngapi urais? CCM inatawala kwa hila toka mwaka gani?
Mwenyekiti Mbowe atupe sababu ya kwa nini wanachadema wanahama na sio kutubabaisha na porojo za watu kuhongwa kama ilivyokuwa kwa madiwani...Masha hajahongwa ameamua kidemokrasia kabisa hata katibu Mashinji amekiri hivyo.
we kweli zuzu.sasa nafasi ya mwenyekiti wa chadema ina uhusiano upi na nafasi ya mgombea urais wa nchi?Mbowe kagombea toka 2004 uenyekiti chadema CCM inapewa rid has na wananchi toka uchaguzi wa vyama vigil 1995 hebu tueleze katika chaguzi toka 1995 up in zaniness lini wamewazidi CCM wenyeviti wa vitongoji nchi nzima wamezidi wenyevit wa vijiji nchi nzima wamezidi madiwani nchi nzima takin yaw tathmin kwa hayo tutajua kweli wana hila
Umeongea vizuri sana, kuna watu wengi sana tunabaki njia panda, nia hasa tunahitaji mabadiliko na upinzani wa kweli kama alioupigania Dr. Slaa. Lakini kwa mwenendo huu wa kupokea makapi kila kukicha, hata tofauti ya CCM na CHADEMA haipo, nashauri hii chadema igawanyike mara mbili, iwepo ya Mbowe na Chadema halisi ya kina lissu, slaa, mchungaji, mnyika, mdee nk hii ya Mbowe hamna kitu, ukweli utawauma lakini that's a FACTUkisema utaitwa mwanaCCM...HATUWEZI KUWA NA TANZANIA MPYA CHINI YA MAKAPI YA ZAMANI KUTOKA CCM NDANI YA CHADEMA
Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.
Opportunity iliyopotea 2015 inabadilika na kuwa kaburi la Chadema.