Resurrection
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 952
- 1,267
Mfufue Mzanaki umpe haya makavu maana ni yeye aliye lazimisha huu muungano.Tatizo limeanzia kwa viongozi wetu.
Tanganyika ina viongozi wezi na mafisadi yasiyojali chochote.
Ni waigizaji tu kwa wananchi.
Zanzibar ina watu million 1 inaweza kutoa Rais wa Tanzania, huku Tanganyika ina wananchi million 57 haina uwezo hata wa kumweka mwenyekiti wa mtaa huko Zanzibar.
Watanganyika ni wapumbavu
Samahani kwa lugha niliyoitumia.
Kwa nini usiziweke hapa tukapata faida wote?.Mkuu si kulaumu kwa kuwa hujui asili ya muungano wetu na nani alipendekeza na kwanini hayo mapendekezo ya mtindo huo yakubaliwe...! Ukitafuta utajua mkuu pengine ukaelewa busara za mzee wetu Nyerere wakati huo.
Except Mapolisi na Wanajeshi.....!!!Muungano wa kizaman sana, kuajiriwa SMZ ukiwa mbara ni ngumu sana ila mzanzibar kuajiriwa Bara ni kawaida sana
Kiufupi wao wamekosa uhuru kamili wa nchi ambao unawakilishwa na Tanzania kwenye maswala ya kupokea mikopo, masula ya kitaifa, n.kMnachanganya na kushindwa kutofautisha Kati ya "Serikali", "Taifa", "nchi" na "dola"(state)
Mwaka 1964 kilichounganishwa ni siyo nchi, Serikali wala Taifa, bali ziliungana dola mbili, Tanganyika na Zanzibar na kuzaliwa Tanzania.
Kimsingi, raia ni wa "dola" ndiyo yenye raia na siyo Taifa, wala Serikali (japo kwa kiswahili, tunatamka "nchi" kimaanisha "dola").
Kisheria, dola ziitwazo Tanganyika na Zanzibar zilifikia kikomo za kuzikwa mwaka 1964,kwa hiyo hazipo tena.
Hakuna ubishi kwamba Tanganyika haupo. Je, dola ya Zanzibar ipo? Ili kitu kiitwe dola kinakuwaje?
Ni, dola huundwa na 1.Serikali, 2.Mipaka, 3. Watu na 4. Uhuru (Uhuru wa ndani na nje).
Zanzibar, ina Serikali, mipaka na watu, ila inakosa kipengele kimoja tu cha uhuru ili iwe dola kamili.
Kwa hiyo dola ya Zanzibar haipo, na kwa kuwa haipo,basi hakuna raia wa Zanzibar, bali tuna raia wa Tanzania wenye asili ya Zanzibar, na moja wapo ni Rais Samia, S.H.
Zanzibar haina uhuru kamili wa kujiamulia mambo yake kitaifa na kimataifa. Hiki kigezo kingekuwepo, basi Zanzibar ingekuwa dola kamili, na Wazanzibar wangekuwa raia wa kigeni.
Hiyo mikopo nan analipa?Hesabu Muungano sisi bara tunafaid hasa linapo Kuja suala la kimataifa, Kama misaada,mikopo ndo tunafaid, ila kwa masula ya ndani dah tunapigwa.
Suala la rais kutokuwa Mzanzibari ndo suluhisho. Kama ilivyo UK ni vigumu mtu wa Scotland au Ireland kuwa PM wa UK. Hapa kwetu tunajidai eti tuna muungano wa kipekee, wakati kuna watu wanaumia na wengine wanakula raha na kudeka. Zbar wanadeka.Kinachotakiwa kufanyika ni zanzibar kupewa hadhi ya mkoa, maana kwa population yake nafikiri inaweza kulingana na baadhi ya wilaya huku bara......vinginevyo katiba itamke waziwazi kabisa kwamba rais wa Tanzania asiwe mzanzibar ili ku maintain maslahi ya eneo kubwa la nchi......
Mbona wanajeshi na polisi wanaajiriwa..Except Mapolisi na Wanajeshi.....!!!
Maza anadai katatua Kero. Hiyo sijui hajaisoma? Ama Kero ni zile tu zinazowahusu Wazanzibar....!!
Wapo wazanzibari wa kutosha hizo idara, na wanaingia kirahisi mnoExcept Mapolisi na Wanajeshi.....!!!
Maza anadai katatua Kero. Hiyo sijui hajaisoma? Ama Kero ni zile tu zinazowahusu Wazanzibar....!!
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa ZanzIbarHaiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara wazazibar nao wana ila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao.
Yani huko zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa raisi, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu kumkuta mzanzibar ni wazirri, mkurugenzi au mkuu wa shirika flani, n.k
Hata kwenye ajira za kawaida hizi za udaktari, uhandisi, uhasibu, ualimu, n.k huko kwao hizi ajira ni kwajili yao ila ukija huku wapo kibao kwene idara tofauti.
Sijui ni nini hiki,
Mwalimu nae alikuwa ni mtu tu kama wengine na sio kila kitu alichofanya kiwe kama msaafu, kiukweli kuna vitu ni lazima vibadilike.
Ndio. Hawa waZanzibar waishie kutawala huko huko kwao na sio pande lote hili la huku Bara. Umakamu unawatosha.Kinachotakiwa kufanyika ni zanzibar kupewa hadhi ya mkoa, maana kwa population yake nafikiri inaweza kulingana na baadhi ya wilaya huku bara......vinginevyo katiba itamke waziwazi kabisa kwamba rais wa Tanzania asiwe mzanzibar ili ku maintain maslahi ya eneo kubwa la nchi......
Hili ni fundisho kwa wahafidhina wa ccm yajayo yanafurahishaNdio. Hawa waZanzibar waishie kutawala huko huko kwao na sio pande lote hili la huku Bara. Umakamu unawatosha.
Mkuu unataka cheo gani pale Zanzibar "tukupe" ?Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao.
Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu kumkuta mzanzibar ni wazirri, mkurugenzi au mkuu wa shirika flani, n.k
Hata kwenye ajira za kawaida hizi za udaktari, uhandisi, uhasibu, ualimu, n.k huko kwao hizi ajira ni kwajili yao ila ukija huku wapo kibao kwene idara tofauti.
Sijui ni nini hiki.
Mwalimu nae alikuwa ni mtu tu kama wengine na sio kila kitu alichofanya kiwe kama msaafu, kiukweli kuna vitu ni lazima vibadilike.
Zanzibar Ina Rais wake, bunge lake, bendera yake, unasemaje inatawaliwa?Mbona hueleweki na unajichanganya mkuu. Kwa mujibu wa post yako hii, Zanzibar inatawaliwa, sasa nchi inayotawaliwa inawezaje kujipendelea?
Kuwa na rais wawili wazanzibari sio sahihi. Tunataka katiba mpya iondoe huu ujingaHaiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao.
Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu kumkuta mzanzibar ni wazirri, mkurugenzi au mkuu wa shirika flani, n.k
Hata kwenye ajira za kawaida hizi za udaktari, uhandisi, uhasibu, ualimu, n.k huko kwao hizi ajira ni kwajili yao ila ukija huku wapo kibao kwene idara tofauti.
Sijui ni nini hiki.
Mwalimu nae alikuwa ni mtu tu kama wengine na sio kila kitu alichofanya kiwe kama msaafu, kiukweli kuna vitu ni lazima vibadilike.
Na kwa katiba hii iliyopo hata umakamu hauwafai maana matokeo yake ndiyo haya ya chifu hangayaNdio. Hawa waZanzibar waishie kutawala huko huko kwao na sio pande lote hili la huku Bara. Umakamu unawatosha.