RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua mwenyewe kugombea kiti cha uraisi mwaka huu 2025
Hili sisi kama watanzania tunalipinga kwa nguvu zote na halikubaliki kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ,👇👇👇wajuzi someni muelewe jinsi katiba inavyokanyagwa na kuwekewa matope mazito.

Attachments
-
Screenshot_2025-02-20-18-47-01-309_com.twitter.android.jpg296.2 KB · Views: 1 -
Screenshot_2025-02-20-18-46-52-842_com.twitter.android.jpg279.3 KB · Views: 1 -
Screenshot_2025-02-20-18-47-01-309_com.twitter.android.jpg296.2 KB · Views: 1 -
Screenshot_2025-02-20-18-46-52-842_com.twitter.android.jpg279.3 KB · Views: 1