Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
Upumbavu ni kudhani hela zinatoka mfukoni kwa mama samia hela ni za watanzania. Hivi mtaacha lini propaganda za kijinga ?...Project gani ilikufa sababu kiongozi alikufa ?... Tukitengeneza project huwa tunaweka milestones na kwakuweka milestones huwa tunaweza kukadiria budget kusema hiyo project kwa milestones zake ilionekana unaweza cost 1.5B alafu baadae inaonekana kuna upungufu wa 5B basi hawa watu walioandika huu mradi ni wajinga na ndio mana tunataka vitu vingine vibadilike, we unaona sifa hela kuongezwa hujui kama kuna jinga moja na wenzake ambao walipitia project writeup wakaipitisha kwa hela ambayo haifiki hata nusu ya gharama yote na ikaenda mpaka ikulu Ambayo huyu mama alikuwepo ikasomwa ikapigwa sahihi ikarud field hela ikatoka, sasa hela haitoshi imeongezwa unakuja kumsifia mtu ambaye alikuwepo kwenye kupitisha ya kwanza na ikaonekana inafaa, wakuu kwani mna matatizo gani kichwani ?... Ndio vitu mnavyosimuliana kwenye magroup yenu ya WhatsApp ili mje mvisambaze kwenye social media ?...kaa kwa kutulia wewe kuruta wa JKT....
Hapo Rufiji Selous huoni mwendelezo wa ukamilishaji wa bwawa la kuzalisha umeme....hayati JPM aliwapa ARAB CONTRACTORS trilioni 2 tu huku ujenzi unahitaji trilioni 6.5.... ARAB CONTRACTORS wanamshukuru sana mh.Rais Samia kwa kuendeleza alichokianzisha JPM kwa kupatiwa fedha yote iliyobaki kwani nchi nyingine anapokufa kiongozi mwanzilishi wa mradi hujifia tu wenyewe baadaye......