Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

...
Samia amepitishwa na Chama chake kugombea hajapitishwa na watanzania wote,kwani umewahi kufuatilia mchakato unaompitisha Lipumba kuwa mgombea wa kudumu tangu 1995?
....hilo halielewi....

Yeye anataka awapangie CCM mambo yao ya ndani....
 
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua mwenyewe kugombea kiti cha uraisi mwaka huu 2025
Hili sisi kama watanzania tunalipinga kwa nguvu zote na halikubaliki kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ,👇👇👇wajuzi someni muelewe jinsi katiba inavyokanyagwa na kuwekewa matope mazito.
Ujiga ni mzigo.
 
Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
Tanzania hii ya CCM ni aibu kubwa, nchi imejaa machawa, viongozi wa ndiyo Kila kitu, Rais anaabudiwa na Kila kiongozi serikalini, Kila kitu Rais, Rais , Rais, hadi uchimbwaji wa matundu ya Vyoo mashuleni ni Rais, kusifia Sifia kusiko na maana
 
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua mwenyewe kugombea kiti cha uraisi mwaka huu 2025
Hili sisi kama watanzania tunalipinga kwa nguvu zote na halikubaliki kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ,👇👇👇wajuzi someni muelewe jinsi katiba inavyokanyagwa na kuwekewa matope mazito.
Hata wewe ukitaka jichague tu uwe mgombea
 
Upumbavu mtupu kwani hela ni zake huyu mama maendeleo gani kaleta. Goli la Mama ama?
 
...kaa kwa kutulia wewe kuruta wa JKT....

Hapo Rufiji Selous huoni mwendelezo wa ukamilishaji wa bwawa la kuzalisha umeme....hayati JPM aliwapa ARAB CONTRACTORS trilioni 2 tu huku ujenzi unahitaji trilioni 6.5.... ARAB CONTRACTORS wanamshukuru sana mh.Rais Samia kwa kuendeleza alichokianzisha JPM kwa kupatiwa fedha yote iliyobaki kwani nchi nyingine anapokufa kiongozi mwanzilishi wa mradi hujifia tu wenyewe baadaye......
 
Ila Rwanda ni mali ya PK si ndio ee?!!

CCM ni chama cha kipekee duniani.....tuna heshima kubwa mno kwa kiongozi mkuu wa chama na rais wetu....

Hushangai ni kwanini hatuzitenganishi hizo kofia mbili ?!!

Maamuzi ya mkutano mkuu wa CCM yanavunjaje katiba ya JMT?!!
Mwenyekiti wake Taifa kutumia Mamlaka yake ya Urais kuwapora haki ya kuchagua/kuchaguliwa Wanachama wengine wa CCM.
 
Katiba ya JMT ama iliyovunjwa ni katiba ya CCM ?!!

Hao wanasheria wako watakuwa wanawashwa na mambo ya ndani ya chama cha watu ?!!

Watu ambao ni wanachama wamekubaliana kumsimamisha mh.Rais kuwa mgombea wao......

Mh.Rais Samia hajajiongezea muda wa urais....usiwe mjinga...
Akili zao zimeshikwa na Maria Sarungi.
 
...kaa kwa kutulia wewe kuruta wa JKT....

Hapo Rufiji Selous huoni mwendelezo wa ukamilishaji wa bwawa la kuzalisha umeme....hayati JPM aliwapa ARAB CONTRACTORS trilioni 2 tu huku ujenzi unahitaji trilioni 6.5.... ARAB CONTRACTORS wanamshukuru sana mh.Rais Samia kwa kuendeleza alichokianzisha JPM kwa kupatiwa fedha yote iliyobaki kwani nchi nyingine anapokufa kiongozi mwanzilishi wa mradi hujifia tu wenyewe baadaye......
Acha porojo zako. Mchakato wa kumpata Mgombea Urais ulifuatwa ndani ya chama??
 
Nchi yetu hatuwezi kuwa na viongozi wanaojichagua kuongoza nchi kwa kuvunja katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania, sasa ni wakati wazalendo na wanasheria wote nchini kwenda mahakamani kupinga mchakato mzima ulifanyika tarehe 19/01/2025 wa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kujiteua mwenyewe kugombea kiti cha uraisi mwaka huu 2025
Hili sisi kama watanzania tunalipinga kwa nguvu zote na halikubaliki kwa mjibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania ,👇👇👇wajuzi someni muelewe jinsi katiba inavyokanyagwa na kuwekewa matope mazito.
Hata wewe unaruhusiwa na una haki ya kuajiri Wakili na kufungua kesi. Usisubiri wengine wafanye. Anza wewe.
 
...hawana fikra za kujua huyo Maria Sarungi anawatia "chaka"....ha ha ha ha
Sasa mtu na akili zako unashindwa kuelewa kama mkutano mkuu ndio chombo cha mwisho kwenye katiba ya ccm, na wenyewe wameamuwa kwa kauli moja unawapinga vipi?

Kuna wajinga wanapenda kujizima data, Samia ndio mwenyekiti wa ccm, nani mwenye jeuri ya kumtikisa huko ccm?
 
Acha porojo zako. Mchakato wa kumpata Mgombea Urais ulifuatwa ndani ya chama??
Ndio ulifuatwa.....

MK uliridhia Mh.Rais Samia agombee muhula ujao....

Unaandamana dhidi ya MERITS za mkutano mkuu wa CCM ?!! Khaaaaaa
 
Sasa mtu na akili zako unashindwa kuelewa kama mkutano mkuu ndio chombo cha mwisho kwenye katiba ya ccm, na wenyewe wameamuwa kwa kauli moja unawapinga vipi?

Kuna wajinga wanapenda kujizima data, Samia ndio mwenyekiti wa ccm, nani mwenye jeuri ya kumtikisa huko ccm?
.... wapumbavu kabisa....wanaburuzwa na mjinga Maria S.....
 
Back
Top Bottom