Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

...
Samia amepitishwa na Chama chake kugombea hajapitishwa na watanzania wote,kwani umewahi kufuatilia mchakato unaompitisha Lipumba kuwa mgombea wa kudumu tangu 1995?
....hilo halielewi....

Yeye anataka awapangie CCM mambo yao ya ndani....
 
Ujiga ni mzigo.
 

Attachments

  • 5811771-84b12f6d5ff81d807821a183416ac2ed.mp4
    648.4 KB
  • 5811523-6041f5af6e2b5c7600d07027005d6658.mp4
    3.7 MB
Tanzania hii ya CCM ni aibu kubwa, nchi imejaa machawa, viongozi wa ndiyo Kila kitu, Rais anaabudiwa na Kila kiongozi serikalini, Kila kitu Rais, Rais , Rais, hadi uchimbwaji wa matundu ya Vyoo mashuleni ni Rais, kusifia Sifia kusiko na maana
 
Hata wewe ukitaka jichague tu uwe mgombea
 
Upumbavu mtupu kwani hela ni zake huyu mama maendeleo gani kaleta. Goli la Mama ama?
 
Upumbavu mtupu kwani hela ni zake huyu mama maendeleo gani kaleta. Goli la Mama ama?
...kaa kwa kutulia wewe kuruta wa JKT....

Hapo Rufiji Selous huoni mwendelezo wa ukamilishaji wa bwawa la kuzalisha umeme....hayati JPM aliwapa ARAB CONTRACTORS trilioni 2 tu huku ujenzi unahitaji trilioni 6.5.... ARAB CONTRACTORS wanamshukuru sana mh.Rais Samia kwa kuendeleza alichokianzisha JPM kwa kupatiwa fedha yote iliyobaki kwani nchi nyingine anapokufa kiongozi mwanzilishi wa mradi hujifia tu wenyewe baadaye......
 
Mwenyekiti wake Taifa kutumia Mamlaka yake ya Urais kuwapora haki ya kuchagua/kuchaguliwa Wanachama wengine wa CCM.
 
Akili zao zimeshikwa na Maria Sarungi.
 
Acha porojo zako. Mchakato wa kumpata Mgombea Urais ulifuatwa ndani ya chama??
 
Hata wewe unaruhusiwa na una haki ya kuajiri Wakili na kufungua kesi. Usisubiri wengine wafanye. Anza wewe.
 
...hawana fikra za kujua huyo Maria Sarungi anawatia "chaka"....ha ha ha ha
Sasa mtu na akili zako unashindwa kuelewa kama mkutano mkuu ndio chombo cha mwisho kwenye katiba ya ccm, na wenyewe wameamuwa kwa kauli moja unawapinga vipi?

Kuna wajinga wanapenda kujizima data, Samia ndio mwenyekiti wa ccm, nani mwenye jeuri ya kumtikisa huko ccm?
 
Acha porojo zako. Mchakato wa kumpata Mgombea Urais ulifuatwa ndani ya chama??
Ndio ulifuatwa.....

MK uliridhia Mh.Rais Samia agombee muhula ujao....

Unaandamana dhidi ya MERITS za mkutano mkuu wa CCM ?!! Khaaaaaa
 
.... wapumbavu kabisa....wanaburuzwa na mjinga Maria S.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…