Ni wakati wanasheria kuelekeza nguvu mahakamani kupinga mchakato uliompitisha Samia kugombea kiti cha uraisi 2025

Upumbavu ni kudhani hela zinatoka mfukoni kwa mama samia hela ni za watanzania. Hivi mtaacha lini propaganda za kijinga ?...Project gani ilikufa sababu kiongozi alikufa ?... Tukitengeneza project huwa tunaweka milestones na kwakuweka milestones huwa tunaweza kukadiria budget kusema hiyo project kwa milestones zake ilionekana unaweza cost 1.5B alafu baadae inaonekana kuna upungufu wa 5B basi hawa watu walioandika huu mradi ni wajinga na ndio mana tunataka vitu vingine vibadilike, we unaona sifa hela kuongezwa hujui kama kuna jinga moja na wenzake ambao walipitia project writeup wakaipitisha kwa hela ambayo haifiki hata nusu ya gharama yote na ikaenda mpaka ikulu Ambayo huyu mama alikuwepo ikasomwa ikapigwa sahihi ikarud field hela ikatoka, sasa hela haitoshi imeongezwa unakuja kumsifia mtu ambaye alikuwepo kwenye kupitisha ya kwanza na ikaonekana inafaa, wakuu kwani mna matatizo gani kichwani ?... Ndio vitu mnavyosimuliana kwenye magroup yenu ya WhatsApp ili mje mvisambaze kwenye social media ?
 
......wataalamu wanapoanda milestones hizo....waziri wa fedha huziweka mezani mwa baraza la mawaziri kujadiliwa.... mwenyekiti wa kikao hicho adhimu huwa "chief comforter of the nation"....

Ana washauri wengi mno zaidi ya hao wa waziri husika....akiamua kutofanya "endorsement" basi mradi huo HUJIFIA wenyewe.....

Unamuondoaje Rais wa nchi katika kuzitoa FEDHA hizo nyingi za dola la Tanzania ?!!

#Think Thrice !
 
Mbona Msajili wa vyama amekaa kimiya sana katika sakatahili?

Naamini ingekuwa ni CHADEMA ndio kafanya hivyo nadhani angekifuta Chama
 
Itakua ni kujifedhehesha wenyewe ati wanasheria kuleta kimbelembele kujaribu kupotosha mchakato halali ulioamuliwa na chama cha siasa na kuufanya eti haukua sahihi,

watakao thubutu kufanya hivyo wanaweza kua wanasheria fake kama yule mzee wa huko arusha aliedai kua ni kada wa CCM, hali ya kua inafahamika ni mwanachama wa CCK na alishawahi kugombea urasi kupitia chama hicho uchaguzi ulopita,🐒
 
Jitokeze adharani useme ivo
 
Ebu tumia akili basi, yani ni kama anafanya hivyo vitu kwa kuhurumia watu na hela ni zake , hela sio zake, kama project iko mezani na ina milestone na ikaonekana kuna shortcomings inatakiwa hela itolewe inabidi to aidhinishe zitoke kwa mamlaka alopewa na wananchi na sio kwa huruma yake binafsi, Ila nyinyi mnavyosifia utadhani kama huyu maza asingekuwepo tungekuwa waTz wote tumekufa, ndio mana watu wanataka taasisi ya uraisi iwe imara na Ambayo inaweza kuwa answerable kama blunder inatokea ili kuongeza uwajibikaji, we mwenyewe umesema project imeenda kwa 6B, Ila mara ya kwanza ilitoka 1B, kwahiyo wakina Mama samia walikosea budget estimate wamejirekebisha unasifia , unasifia correction ? How comes ?
 
.... wapumbavu kabisa....wanaburuzwa na mjinga Maria S.....
Hivi huyo samia mnayemshabikia amefanya nini hivi ukiwa ccm kika kitu ni ndiyo uwezo wa kupambanua mambo huwa hamna , ccm imefikia ukiwa na cheo cha juu unaabudiwa hata kama unavunja sheria , upuuzi mtupu mwaka huu hatutaki raisi anayejichagua nabkujitangaza kwa kutumia tume aliyoteua mwenyewe, kaanza kuwashughulikia ndani ya ccm sasa umma umekataa
 
Kuandika vyema tu kinakuwa ni kipengele kwako ,unapata wapi "guts" za kumkosoa chief comforter of the beloved nation her Excellency Hon.Samia Suluhu Hassan ?!!

Huko tunakofanyia IBADA za kumuabudu ni kanisani ,msikitini ,mizimuni ama vilingeni?!!

Hide your stupidity if you got irrelevant thoughts rather than spewing non-sense in the civilized public....

#URT for ever !!
 
Ndio ulifuatwa.....

MK uliridhia Mh.Rais Samia agombee muhula ujao....

Unaandamana dhidi ya MERITS za mkutano mkuu wa CCM ?!! Khaaaaaa
Hata wewe mwenyewe unaona aibu kwa jibu lako. Hii ni kwasababu ukweli wote unaufahamu. Ni lini alijaza fomu ya kuomba nafasi hiyo?? Kibajaji alijaribu kutoa wazo lkn halikupata nafasi. Nafikiri unafahamu fika nn M/K alijibu. Nani angepinga apotezwe??

Sasa Kiongozi anapoamua kuweka pembeni Katiba ya chama chake, vipi Katiba ya nchi?? Watz siyo wajinga.
 
Wewe unafanya kazi makao makuu ya CCM taifa pale WH ?!!

Umeamua kuja kuongopa hapa kuwa mh.mwenyekiti taifa hakuja ofisini kwenu kuomba na kujaza hiyo fomu ?!!
 
Si "B" ni "T" mkuu wangu.....

Wapi nimeandika anatoa fedha kwa kutuhurumia ?!!
Nilichokiandika ni yeye kusimamia WAJIBU wake as a chief comforter of the nation .....nasi wananchi wenye ujamaa wa kiafrika tuna DHIMA ya kumpongeza kwa uzalendo wake huo wa ujamaa wa kiafrika.....

Amka mzee!
 
MAHAKAMA NI MHIMILI WA CCM MAJAJI WOTE ANACHAGUA HUYO MAMA UBATAGEMEA KUPATA HAKI?
 
Okay ni T, kwahiyo mkuu me nimelala we umeamka na hujaona tatizo kubwa la kimahesabu lililokuwepo kwenye huo mradi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…