musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 368
- 556
Wakuu asalaam aleykum!
Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk.
Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi, biashara pamoja na makampuni makubwa yanasimamiwa na vijana. Vijana wa Tanzania wanaweza Uchambuzi wa sofa tuu na kubeti.
Njaa imepanda kutoka tumboni hadi kichwani, hawajui wala hawaangalii lolote zaidi wamebaki kuunga mkono tabaka fulani kwa kujipendekeza/uchawa.
Leo nimemsikia mmoja anaitwa Mwijaku anajinadi yeye ni gen Z, nadhani anajifananisha na Gen Z wa Kenya, kwa ufupi IQ ya vijana wa Gen Z wa Kenya sidhani kama unaweza linganisha na wa Tanzania Hawa wa kwetu wanasubiri matamasha ya Kizimkazi, Simba na Yanga, na kumaliza bando kuangalia harusi ya Azziz k.
Aibu aibu aibu.