Pre GE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

Pre GE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Trump jana kamkaribisha Elon musk kuzungumza mbele ya waandishi wa habari. Elon musk kagusia kuhusu riba marekani wanayolipa kutokana na mikopo inaweka rehani mustakabali wa taifa.

Huku kwetu ni kuzunguka na kina mwijaku, dotto magari, Steve Nyerere na wengineo wa aina hiyo. Unabaki unajiuliza hawa wasanii mchango wao ni mkubwa ni kiasi gani wakati sensa ya 2022 inaonesha 43% ya nguvukazi ya taifa ipo kwenye kilimo na uvuvi!
 
Back
Top Bottom