Pre GE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi wewe ulizoleta hapa ni discussion of ideas au ni yaleyale ya matukio na watu...

Anyway watunga sera wangekuwa na akili wangetumia upenzi wa vijana wa mpira kwa kuweza ku monitize hilo kwa faida ya nchi na kupunguza kazi ya betting sababu ni addiction..., Anyway bora hao wanaozungumzia soka kupunguza stress na kuwa entertained (na sababu huu uzi upo jukwaa la uchaguzi nadhani huenda unasema talking about hizi siasa za maji taka ni better) Binafsi I beg to differ...

Vyombo vya habari navyo vinachangia. Ulaya mambo ya michezo yana vyombo vyake vya habari special (radio&tv). Huku kwetu watu wanadiscuss mpira toka asubuhi hadi jioni. Kuna uzi nililiongelea hili. Vijana wanakua exposed kwenye vitu ambavyo haviwakengi kupata maendeleo yao binafsi na ya taifa kwa ujumla. Huwezi kua msaada kwa jamii yako kama hauko exposed na matatizo yanayoikabili jamii yako na njia za kujikwamua kutoka kwenye matatizo na changamoto hizo. Vijana wanafarijiwa na Simba na Yanga wakati umri unaenda na hawana chochote na wanazidi kua maskini siku hadi siku. Sasa vijana wenye njaa, umaskini na hawana upeo wowote vichwa vyao vimejaa Simba na Yanga watawezaje kulisaidia taifa lao kujikwamua kiuchumi na kiteknolojia?! Vipindi vya michezo vina wachambuzi wengi kuliko kipindi chochote kile, sasa hiki wanachochambua kina tija gani sasa kwa taifa?! Mtu alieko kijijini anahangika na kilimo, uvuvi na ufugaji anapata matumaini gani ya kupiga hatua kwenye shughuli zake kama ananyimwa haki ya kupata ujuzi, ufahamu na elimu kutoka kwa watu ambao serikali imetumia gharama kubwa kuwasomesha?!
Nao hawa wanyonyaji wanajua udhaifu uko wapi,ndiposa utasikia mhe. Fulani atazisaidia Simba na Yanga kupata wawekezaji au kununua magoli....God save us
 
Taifa lolote lenye mtazamo wa maendeleo linajivunia rasilimali watu wenye nguvu, akili timamu, walioelimika na wachapa kazi.
Natitizika sana kuwa sioni vijana wetu wenye sifa hizo. Wengi wapo kwenye betting, madawa ya kulevya, pombe na umalaya, udaku, simba, yanga, arsenal, Manchester, Barcelona, Liverpool, ManCity, muziki.

Vijiweni ni discussion za mkeka umechanika, muhindi kanipiga, Simba kaua, Yanga kafanya hiki, sijui Diamond anatoka na nani, yaani ni vijana utopolo kabisa. Na hali ni mbaya zaidi kwa vijana wa kiume.

Viongozi mliopo madarakani, liokoeni hili Taifa. Linaangamia.

Hakuna fahari yoyote kuongoza watu wasiojielewa. Mwisho wa siku hata wewe kiongozi unaonekana hujielewi.
 
Ukiwa wa hivyo unavyotaka wewe km NETO kesho tu mlango umegongwa utamkuta Balozi, Mjumbe wako na Polisi kadhaa wanakusubiria nje wakakusweke ndani ukiuliza kosa nini eti upo kwenye kakikundi kanakojadili masuala ya Nchi yako na kuipinga Serikali
 
Hatari sana, ila ndio viongozi wetu wanapenda vijana wawe mazuzu ili waendelee na ufisadi.

Ubaya zaidi sahivi kuna kirusi cha uchawa kinawangamiza sana vijana.
 
Taifa lolote lenye mtazamo wa maendeleo linajivunia rasilimali watu wenye nguvu, akili timamu, walioelimika na wachapa kazi.
Natitizika sana kuwa sioni vijana wetu wenye sifa hizo. Wengi wapo kwenye betting, madawa ya kulevya, pombe na umalaya, udaku, simba, yanga, arsenal, Manchester, Barcelona, Liverpool, ManCity, muziki.

Vijiweni ni discussion za mkeka umechanika, muhindi kanipiga, Simba kaua, Yanga kafanya hiki, sijui Diamond anatoka na nani, yaani ni vijana utopolo kabisa. Na hali ni mbaya zaidi kwa vijana wa kiume.

Viongozi mliopo madarakani, liokoeni hili Taifa. Linaangamia.

Hakuna fahari yoyote kuongoza watu wasiojielewa. Mwisho wa siku hata wewe kiongozi unaonekana hujielewi.
"Hakuna fahari yoyote kuongoza watu wasiojielewa. Mwisho wa siku hata wewe kiongozi unaonekana hujielewi".

Kiongozi anayeongoza watu wasiojielewa naye pia hajielewi.
 
Taifa lolote lenye mtazamo wa maendeleo linajivunia rasilimali watu wenye nguvu, akili timamu, walioelimika na wachapa kazi.
Natitizika sana kuwa sioni vijana wetu wenye sifa hizo. Wengi wapo kwenye betting, madawa ya kulevya, pombe na umalaya, udaku, simba, yanga, arsenal, Manchester, Barcelona, Liverpool, ManCity, muziki.

Vijiweni ni discussion za mkeka umechanika, muhindi kanipiga, Simba kaua, Yanga kafanya hiki, sijui Diamond anatoka na nani, yaani ni vijana utopolo kabisa. Na hali ni mbaya zaidi kwa vijana wa kiume.

Viongozi mliopo madarakani, liokoeni hili Taifa. Linaangamia.

Hakuna fahari yoyote kuongoza watu wasiojielewa. Mwisho wa siku hata wewe kiongozi unaonekana hujielewi.
Mama yupo kazini anaupiga mwingi mitano tena mwezi wa kumi ni kwenda kumpigia mama kura yeye ndio anajuwa MUSTAKABALI WA TAIFA,Vijana kazi ni moja kubet na kuingia insta kuangalia penzi Almas na Zuchu linaendaje tukitoka hapo tubishane kidogo kuhusu mpira tukimaliza ni mwendo wa Gombea UTI sugu kwa mwajuma chupi mnato habari kwisha kabisa.
 
Taifa lolote lenye mtazamo wa maendeleo linajivunia rasilimali watu wenye nguvu, akili timamu, walioelimika na wachapa kazi.
Natitizika sana kuwa sioni vijana wetu wenye sifa hizo. Wengi wapo kwenye betting, madawa ya kulevya, pombe na umalaya, udaku, simba, yanga, arsenal, Manchester, Barcelona, Liverpool, ManCity, muziki.

Vijiweni ni discussion za mkeka umechanika, muhindi kanipiga, Simba kaua, Yanga kafanya hiki, sijui Diamond anatoka na nani, yaani ni vijana utopolo kabisa. Na hali ni mbaya zaidi kwa vijana wa kiume.

Viongozi mliopo madarakani, liokoeni hili Taifa. Linaangamia.

Hakuna fahari yoyote kuongoza watu wasiojielewa. Mwisho wa siku hata wewe kiongozi unaonekana hujielewi.
kama mwanadamu,
ni vizuri kupitia hatua muhimu mbalimbali za urika ili kujifunza mambo mabilimbali kulingana na generation yako ili kuepuka kuvuka hatua fulani ya makuzi na ukaja kuaibika ukiwa kati hatua nyingine kabisa ya generation uliopo.

usijipe umuhimu kupitiliza,
itafika wakati uliowataja hawatakuepo tena kwenye hicho ambacho leo kinawaunganisha, wataenda hatua nyingine ya urika na wengine huenda wakaunganishwa na kitu kingine tofauti na kubet au mpira.

Hata hivyo,
JF majukwaa yote ni muhimu mno, ikiwa mdau yeyote anataka kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu wake juu ya mambo mbalimbali kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
Hakuna hasara kua JF, platfoms zote zinajadili mambo ya msingi sana kulingana na mahitaji ya mtu, kwa maslahi nafaida ya wadau mojamoja na taifa zima kwa ujumla.

Kumbuka,
Uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania ni october mwaka huu2025 :pulpTRAVOLTA:
 
Taifa lolote lenye mtazamo wa maendeleo linajivunia rasilimali watu wenye nguvu, akili timamu, walioelimika na wachapa kazi.
Natitizika sana kuwa sioni vijana wetu wenye sifa hizo. Wengi wapo kwenye betting, madawa ya kulevya, pombe na umalaya, udaku, simba, yanga, arsenal, Manchester, Barcelona, Liverpool, ManCity, muziki.

Vijiweni ni discussion za mkeka umechanika, muhindi kanipiga, Simba kaua, Yanga kafanya hiki, sijui Diamond anatoka na nani, yaani ni vijana utopolo kabisa. Na hali ni mbaya zaidi kwa vijana wa kiume.

Viongozi mliopo madarakani, liokoeni hili Taifa. Linaangamia.

Hakuna fahari yoyote kuongoza watu wasiojielewa. Mwisho wa siku hata wewe kiongozi unaonekana hujielewi.
Moderator, kwanini mmeunganisha huu uzi? Kwani mngeuacha ukijitegemea mngepungukiwa nini? Una mahuasiano gani na mambo ya kubet na kuzishabikia timu za Simba na Yanga?

Mimi nadhani hamjamtendea haki mtoa mada! Mbona kuna mada za kujirudia/kufanana zinazoletwa na CHAWA kila siku hamziunganishi? Au na nyinyi ndugu zetu mko kwenye payroll kiasi cha kuhakikisha mnaizima mijadala huru kama hii?

I think this is unfair.
 
Hawa moderator nao wapo corrupt tu. Hawataki kuona mada konki. Hawajui hata essence ya title. Kuelimika nako kazi sana.
 
Ndiyo maana nimeona niwaambie ukweli. Hawakuwa na sababu ya kuunganisha huu uzi wako na uzi mwingine. It is unfair. Na huenda ni kwa sababu hoja yako inaibua hisia chanya, na hapa ndipo wanapo ogopa.
 
Vijana wa siku hizi hawataki kunuka jasho/hawataki kazi. Wanataka kunukia manukato/wanataka vitu laini laini
 
Back
Top Bottom