PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!

Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].

Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].

Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.

Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.

Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!

Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?

Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?

Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.

Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
 
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!

Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].

Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].

Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.

Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.

Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!

Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?

Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?

Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia tu barabara na za kujua kutokujamba mbele za watu.

Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Hapo Sasa, wanakuja kina Lukas mwashambwa na tlaatlaah!
 
Watu (ccm) wanafanya mambo bila kutumia akili kabisaThis defies logic
..ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..
 
Tutajie Mkuu ni akina nani hao nasi tuwajue !
 
Bro nacheka hiki kituko cha nchi yangu, kuna maswali CCM huwa hawajiulizi au they are just shameless!!?

TZ ina watu wazima around 32M kwahiyo mwaka jana watu wazima wote walipiga kura na waliipigia CCM, hata kama aiseee! Who does this!
Na wote tulitoka na tulipiga kura alfajiri kabla ya mandamano🤣🤣🤣

Nashindwa kualewa.
 
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!

Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].

Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].

Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.

Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.

Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!

Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?

Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?

Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia tu barabara na za kujua kutokujamba mbele za watu.

Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Zezeta yule
 
Mchungaji mwema aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta 1 aliyepotea.

Kuwafuata hao 2% ndio kanuni bora ya kiungwana

Ili tuendelee wote tunapaswa kuwa at the same page.
 
Back
Top Bottom