PostGE2025 Ni wapi kwingine walioshinda uchaguzi kwa 98% hufanya maridhiano??

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!

Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].

Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].

Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.

Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.

Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!

Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?

Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?

Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.

Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Hana akili kabisa hata za kuvuka barabara hana
 
Umejiuliza swali ninalojiuliza kila mara,kama mtu umeshinda uchaguzi kwa 98% maana yake "stastically"wanaokuinga ni wachache sana ,sasa kama kuna haja kufabya maridhiano fanya na wanaokuunga mkono,achana na vyama vya upinzani.....tatizo wanafanya makosa hawafikirii whata might come out of that
 
..ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..
Utumie akili hata kidogo.
Mwenyekiti wa CCM taifa akisema polisi na vyombo vya dola vingine vihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki, na pia wasimamizi wote wa uchaguzi wakabanwa vizuri na sheria za uchaguzi, uchaguzi utaharibika?.
 
umejiuliza swali ninalojiuliza kila mara,kama mtu umeshinda uchaguzi kwa 98% maana yake "stastically"wanaokuinga ni wachache sana ,sasa kama kuna haja kufabya maridhiano fanya na wanaokuunga mkono,achana na vyama vya upinzani.....tatizo wanafanya makosa hawafikirii whata might come out of that
Umeandika kinyume.
 
Utumie akili hata kidogo.
Mwenyekiti wa CCM taifa akisema polisi na vyombo vya dola vingine vihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki, na pia wasimamizi wote wa uchaguzi wakabanwa vizuri na sheria za uchaguzi, uchaguzi utaharibika?.
..kwa hiyo ni rahis kwake kuagiza hayo unayosema km mwenyekiti wa ccm kuliko kuagiza km rais? kwa nini unadhan mwenyekiti wa ccm anapokuwa mgombea haachii nafasi ya urais ili abaki na uenyekuti wa chama chake agombee kwanza..? Na anayeweza kuagiza ni huyo mwenyekit ccm taifa au hata mwenyekiti ccm kata nae anaweza kuagiza mtumishi yeyote wa serikali..
 
..ccm gani? Hivi ukikaa ukatafakari kwa kina wewe unaona ccm ndio wanavuruga uchaguzi? km ccm wanaweza kufanya hivyo pasingekalika hapa..nikikuuliza km kuna ccm jirani yako alisimamia kuharibu uchaguzi unaweza kumtaja? ni km wahalifu HALISI huwa hamtaki kuwataja wanaowatuma hata hao ccm wenyewe..
Wewe ndio umeongea points ccm kama Chama hawana Uwezo huo, na wala hawana Nia chafu kwa Nchi Yetu. Hili jambo nashangaa kwa nini Wananchi na baadhi ya wanasiasa wanajifanya hawalijui
 
Utumie akili hata kidogo.
Mwenyekiti wa CCM taifa akisema polisi na vyombo vya dola vingine vihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki, na pia wasimamizi wote wa uchaguzi wakabanwa vizuri na sheria za uchaguzi, uchaguzi utaharibika?.
Hii ni Nchi ya Mabeberu Mwenyekiti wa CCM mnamwonea na kumsingizia tu
 
Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!

Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].

Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].

Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.

Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.

Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!

Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?

Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?

Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.

Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Zile damu za Watanganyika zaidi ya 20,000 alizomwaga October 2025 zinamtesa sana anahangaika kama kuku aliyekatwa kichwa.
 
Ni upumbavu wa kiwango cha kipekee kabisa.
Yaani kwamba 98% wamekukubali, 2% ndiyo wakunyime usingizi mpaka utake maridhianao. Mara mtu mmoja ndiyo anakwamisha, daaah tumefika pabaya sana. Wariddiane na ambao wako tayari gurudumu lisonge mbele na hii habari ya maridhiano ikome. Baada ya hapo atokee kwenye mkutano wa hadhara na kusema tumeridhiana, hapo ndipo atajua maana ya maridhiano.
 
Hivi,anaogopa nini kuridhiana na walioonesha utayari hata kabla ya Oktoba 29? Mbona walimpigia kura nyingi/asilimia 98?Iweje chama kimoja tu au mtu mmoja tu ndiyo utokee mkwamo?Au anawaogopa mabeberu?Who are they?
NB;Ajaribu aone moto huwa unaunguzaje?
 
Back
Top Bottom