Sasa hao 2% wanasema nyie endeleeni tu msihangaike na sisi.Mchungaji mwema aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta 1 aliyepotea.
Kuwafuata hao 2% ndio kanuni bora ya kiungwana
Ili tuendelee wote tunapaswa kuwa at the same page.

Halafu,siyo lazima na hawalazimishwi/kushurutishwa na awaye yote kushiriki maridhiano.Sasa hao 2% wanasema nyie endeleeni tu msihangaike na sisi.
You have nailed it down. Kuna mambo ya kiroho hapo.Tuwe waelewa!
Kwenye Kuta za Siri za taifa hili nadhani iliamriwa kiroho na kimwili kwamba kwa sasa ni ccm baada ya TANU!
Yeyote atakaeshika kiti lazima CCM ishinde kwa miiko ya kiroho na kimwili yaani utake usitake!!
Usidhani walioshika kiti hawakutamani upinzani ushike ,lakini miiko iliyoasisiwa kiroho ndio inasimamia misingi ya taifa hili!!
CCM yenyewe ikishachoka itaamua nani apewe kama TANU ilivyoamua kwamba sasa ni CCM!!
Tuelewe hayo,tutalaumu watu Bure tu,samiah alihakikisha miiko ya taifa inadumu kwa namna yake !asilimia ni namba tu!
Sema waliomzunguka walimshauri vibaya,Bunge bila chama kikuu cha upinzani ni bunge mfu,na CCM inapitia magumu kwa sasa because upinzani haupo itabidi wapingane na kushughulikiana sisi wenyewe!
Kikwete senior alijua Hilo ndio maana alikuza upinzani Ili CCM ipumulie upinzani na kufanya spinning ienekane inafanya kazi!!
Lakini kwa sasa hata ifanye nini hakuna anaelewa kabisa!!
Kazi na utu,we move forward!
Huyo mchungaji mwema sasa, kumbuka huyo mchungaji mwema hakuua kondoo wake, ila alitafuta kondoo aliyepotea kumrudisha kwa wenzakeMchungaji mwema aliacha kondoo 99 akaenda kutafuta 1 aliyepotea.
Kuwafuata hao 2% ndio kanuni bora ya kiungwana
Ili tuendelee wote tunapaswa kuwa at the same page.
Kabisa.Watamke hadharani wamekoseana nini!Hapo ndipo lugha njema itatumika.Watasema "TUNAOMBA TURIDHIANE(msemo wa kileo ungekuwa KARIBUNI TUYAJENGE)na siyo NJOONI HAPA TURIDHIANE.Huyo mchungaji mwema sasa, kumbuka huyo mchungaji mwema hakuua kondoo wake, ila alitafuta kondoo aliyepotea kumrudisha kwa wenzake
Labda mtuambie mnapotaka kuridhiana na CHADEMA mmekoseana nini?
Waseme walipokoseana yawezekana tukawa tunaongea kumbe wanajua wenyewe na bifu lao hayo maridhiano ya nini ikiwa mtu amepita kwa asilimia 98% yaani watanzania wanaipenda CCM kutoka moyoni anataka aridhiane na nani anayemnyima usingizi pamoja na ushindi mzito alioupataKabisa.Watamke hadharani wamekoseana nini!Hapo ndipo lugha njema itatumika.Watasema "TUNAOMBA TURIDHIANE(msemo wa kileo ungekuwa KARIBUNI TUYAJENGE)na siyo NJOONI HAPA TURIDHIANE.
ujinga tuu hamna kiroho wala niniYou have nailed it down. Kuna mambo ya kiroho hapo.
Northern Ireland,Yugoslavia,Cambodia ,DRC,Libya,Somalia,south SudanUkisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Mkuu, hivi unatambua kwamba samuya (tena alituambia yeye mwenyewe) kwamba form 4 alifeli??.Viwango vya akili vimeshuka sana.
Pamoja na kupata 98% Ni Rais pekee anayechukiwa sana kuliko Marais wote waliowahi kutokea, hata hao wanajifanya kumuunga mkono ni kwa sababu ya Kula yao tu, lakini pembeni najua ukweli wanao.Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!
Eti kashinda uchaguzi kwa 98% ya kura zilizopigwa [uongo].
Kapata kura milioni 31 kati ya milioni 32 zilizopigwa [uongo].
Huo ni ‘ushindi’ mkubwa sana unaoonyesha kukubalika na wananchi.
Sasa ‘unashinda’ uchaguzi kwa kiwango hicho halafu bado eti unataka maridhiano 😂.
Yaani 2% ya ambao hawakukupigia kura ndo wakufanye utake maridhiano!
Maridhiano ya nini kama unakubalika kuliko marais wengine wote waliokutangulia?
Umemkosea nani na umemkosea nini huyo unayetaka kuridhiana naye?
Bure kabisa wewe. Una akili za kuvukia barabara tu na za kujua kutokujamba mbele za watu.
Zaidi ya hapo wewe ni poyoyo tu.
Watu mnasahau kama viongozi wa dini waliomba hadi majini wampigie kura huyo muhusika?Mkuu miujiza hutokeaga🤣🤣🤣
..wnapewa 200m bado unawaita wajeda, nadhani hawa ni zaidi ya vibaka..Mi hilo wala si shida ! Shida ni kuapishwa kinyume na utaratibu kwenye magereji ya JESHI,
Huku wajeda ngazi za juu wakipewa 200M each
..hakuna ujinga km huo, kiroho gani..majini au mizimu? Hatuwezi kuendelea na ujinga huo hata km walitoleana kafara zao za giza, watakufa wao na kuzimu watakwenda.You have nailed it down. Kuna mambo ya kiroho hapo.
..elewa peke yako huo ujinga, miiko gani, yaani binadam km wewe aweke miiko ya kijinga na wewe unaifuata, utakuwa mjinga zaidi ya huyo anayekuwekea miiko..km waliapizana kishetani gizani, sisi hatuwezi kukubali huo ujinga..kufa na wafe na miiko yao sisi hatuijui na hatuitaki!Tuwe waelewa!
Kwenye Kuta za Siri za taifa hili nadhani iliamriwa kiroho na kimwili kwamba kwa sasa ni ccm baada ya TANU!
Yeyote atakaeshika kiti lazima CCM ishinde kwa miiko ya kiroho na kimwili yaani utake usitake!!
Usidhani walioshika kiti hawakutamani upinzani ushike ,lakini miiko iliyoasisiwa kiroho ndio inasimamia misingi ya taifa hili!!
CCM yenyewe ikishachoka itaamua nani apewe kama TANU ilivyoamua kwamba sasa ni CCM!!
Tuelewe hayo,tutalaumu watu Bure tu,samiah alihakikisha miiko ya taifa inadumu kwa namna yake !asilimia ni namba tu!
Sema waliomzunguka walimshauri vibaya,Bunge bila chama kikuu cha upinzani ni bunge mfu,na CCM inapitia magumu kwa sasa because upinzani haupo itabidi wapingane na kushughulikiana sisi wenyewe!
Kikwete senior alijua Hilo ndio maana alikuza upinzani Ili CCM ipumulie upinzani na kufanya spinning ienekane inafanya kazi!!
Lakini kwa sasa hata ifanye nini hakuna anaelewa kabisa!!
Kazi na utu,we move forward!
Kabisa!Pamoja na kupata 98% Ni Rais pekee anayechukiwa sana kuliko Marais wote waliowahi kutokea, hata hao wanajifanya kumuunga mkono ni kwa sababu ya Kula yao tu, lakini pembeni najua ukweli wanao.
Kuna Jaji mjinga mjinga anaitwa Mwambegele.Ukisikia kukosa akili ndo huku sasa!